Mkuu nikiri wazi kwamba huko nilitoka miaka mingi sana zaidi ya 20, ninavyofahamu ukifika Ilemba unapita kijiji kimojawapo kinaitwa Solola kisha unafika kijiji cha Nankanga ambapo kipo ziwa Rukwa. Sasa naomba kuuliza ulipitia njia gani baada ya kutoka Ilemba maana unasema ulipita vijiji kadhaa...
Habari za weekend wakuu?
Natumaini mko salama, kwa ambao hawako sawa Mungu awafanyie wepesi mrudi katika khali zenu nzuri za kila siku.
Ombi langu kwenu ni kwamba miaka kadhaa nyuma nilisoma thread moja humu inaelezea chimbuko la kabila la WAZANAKI, kama sijakosea maelezo yake yalianzia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.