Recent content by Jung Levi

  1. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

    Ni vigezo gani utatumia kuwachuja hao wenye Akili?
  2. Jung Levi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amekataa kabisa kufanya ngono nami

    C, Yanga ,,und 7 ,zy
  3. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata shule yenye mahitaji maalum?

    Njombe kuna Shule ya Viziwi ambayo na Mabubu pia wanasoma na Mafinga au Mafinga pia ipo. Sent from my SM-N770F using JamiiForums mobile app
  4. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Clearing and fowarding

    Umeshapata msaada au bado?
  5. Jung Levi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

    Wanaume nao wanaruhusiwa kujibu hili swali?
  6. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Safari ya kwanza ya Rais Samia Ulaya ni vizuri iwe Ujerumani

    Ikiwezekana aitafute Astrazeneca kabisa
  7. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Safari ya kwanza ya Rais Samia Ulaya ni vizuri iwe Ujerumani

    Hadi Covid 19 ipungue na Rais wetu apate hiyo nafasi Angela Merkel atakuwa siyo Kansela wa Ujerumani tena.
  8. Jung Levi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

    Bado sijaoa lakini pale nilipopanga kupita nahisi panaelekea kuwa mke sasa inabidi nipate ushauri namna ya kujinasua.[emoji854]
  9. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joseph Selasini wa NCCR Mageuzi avunja rekodi kwa watu kibao

    Alafu inaonekana waliohudhuria wengi sio wapiga Kura.
  10. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Wazungu na nywele zenye rangi, appearance tofauti

    Hata kwa sisi Waafrika ni hivyohivyo kujibagua kupo.
  11. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

    Hili swali nilipata majibu yake jana kutoka kwa babu Babu anasema miaka ya nyuma kusomea ufundi wowote mf. Uashi, useremala n.k ilikuwa unasoma miaka 3 alafu unatakiwa uzunguke kwenye karakana mbalimbali kufanya kazi kwa kipindi cha miaka 3 tena ili kupata ujuzi tofautitofauti inaitwa...
  12. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: Nilikuwa msaidizi wa mama Mkapa kwahiyo nilisafiri sana huko duniani na Rais Mkapa!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Msaada kujuzwa gharama za ultrasound kwa hospital mbalimbali hapa Dsm

    Hii bei ni kwa kucheki mimba tu au hata vitu vingine? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu sitakusahau

    Mtanesco unachimba Mashimo, Mjomba hakukuambia kuwa umeme ni hatari pole sasa ungepata ya udaktari tungepona kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Jung Levi

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya neno "Fahamu" na "Kujua"

    Kwaiyo mtu anaanza kujua alafu anafahamu?
Back
Top Bottom