Kuna mengi yakustajabisha na kushangaza kuhusu wanyama, hasa tabia, hulka, mionekano hata mienendo yao.
Kuna ambao wanaguswa na kuwapenda simba kunakutokana na muonekano na tabia za simba, wapo wanauguswa na mamba, tembo, nyati, faru, nyoka, lakini binafsi naguswa mno na fisi madoa (spotted...