Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 183
ndugu watanzania tumekuwa tukiona na tukisikia hoja baada ya kukabidhiwa kwa rasimu ya pili ya mabadiliko ya katiba na tumeona hasa wanasiasa wengi wakitoa maoni yao kuhusu muundo wa serikai ,,je nini kipo chini ya utetezi wao huo,,,?
je mbona raia wa kawaida hawasikiki wakitoa maoni yao,,,,nani wanasiasa tuu,,??
je ni nini mapendekezo ya katiba kuhusu uwajibikaji wa watawala,rushwa,n maadili kwa ujumla......?
tunategemea kupata majbu kwani mimi bado nivigumu kujua agenda ya idadi ya hizi serikali....