Recent content by Juma Mboto

  1. Juma Mboto

    Why Rwanda’s development model wouldn’t work elsewhere in Africa

    I agree, the model is country specific. The country being over populated had tight administrative control before and after 1994. And real development implies changing the nature of the economy, into industrial and post industrial (Technology Based). Most of our countries are still based in the...
  2. Juma Mboto

    Hii Konyagi Kubwa Mpya mnaionaje wadau?

    Maini yanakaangika kama kwenye kikaangio, pweh.
  3. Juma Mboto

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Mimi sina biashara, nimehamua kufa maskini, pesa kidogo niliyonayo ninamalizia kwenye pombe.
  4. Juma Mboto

    Kijana akitumikia viboko 70 baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake

    Kama kweli ni adhabu ya kijamii, basi kwanza ni lazima awe amekubaliana nayo, na viboko vinatakiwa visizidi 25 kwa mkupuo mmoja kwasababu za kitaalamu. Ukuharibu misuli mingi kwa pamoja inatoa protini nyingi kwanye damu na kuziba figo. Sasa kwa mfano akifa kwa kuziba figo huyo aliyempiga...
  5. Juma Mboto

    Na sisi pia tuondoe Masanamu ya Kizungu kama USA!

    Kwa upande wa Tanzania hatuna sanamu zenye kuleta matatizo. Kule India walilazimika kuondoa sanamu za watawala wa kiingereza baada ya Uhuru 1947. Baada ya dola za kukomunisti kuanguka 1989 - 1991 sanamu za viongozi wa kikomunisti zilidodnoshwa, na Saddam Hussein yake 2003. Tukumbuke sanamu hizi...
  6. Juma Mboto

    Na sisi pia tuondoe Masanamu ya Kizungu kama USA!

    Mimi ninafikiri Mwenge wa Uhuru ni jambo la maana sana, unatakiwa uwe sehemu ya kusherekea sikukuu ya Uhuru, tarehe 9 Dec. Ningependekeza kwenye sherehe za Uhuru, kuwe na nafasi ya Mwenge kuingia rasmi na kuzimwa rasmi baada ya kutekeleza majukumu yake. Jambo hili litaondoa mjadala wa Mwenge kwa...
  7. Juma Mboto

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Hakuna tiba mbadala. Kuna DM 1 na DM 2. Type 1 (DM 1) lazima atumie Insulin, la sivyo .... Type 2 (DM 2) kuna mambo makuu matatu, la kwanza ni kupunguza wanga kwenye chakula, la pili ni kufanya mazoezi angalau kwa saa limoja au mawili kila siku (Jogging 1 - 2 km kwa siku). Na la tatu ni dawa za...
  8. Juma Mboto

    Msaada: Je huu ni ugonjwa gani?

    Hiyo ni Gonnorhoea, hutakufa ila itibu halafu utafute pengine pa kuchezea. Ningeshauri condom kwa vile siyo kila kitu kina tiba.
  9. Juma Mboto

    Inafaa kumpa maziwa ya ng'ombe mtoto wa mwezi mmoja?

    Kuna fomula ya kuumpa mtoto maziwa ya n'gombe, yanaongezwa maji na sukari. Lakini tafadhali uulize kwenye clinic ya watoto ni kiasi gani. Ninavyokumbuka ni theluthi moja maji, ila kiasi cha sukari sikumbuki.
  10. Juma Mboto

    Adhabu yote anayotupa hii ni ya nini? Je sisi ni majipu?

    Tuna matatizo ya ajira. Ukweli ni kwamba uchumi wetu hauruhusu wahitimu wote wakaajiriwa, iwe ni serikali au sekta binafsi. Kama mtu hajapata ajira ni vizuri akafikiria kujiajiri. Kwenye mfumo wowote kuna kuwa na fursa "niche" ambayo unatakiwa uitafute na kuitumia ipasavyo.
  11. Juma Mboto

    Wanajamvi wenye vyeti feki muichukue kama ilivyo japo inauma

    Je kama mfanyakazi ameshafanya kazi kwa miaka mingi, labda ni mwalimu, halafu akagundulika na cheti bandia. Ina maana kuwa yale yote aliyofundisha hayakufanyika sahihi? Na wanafunzi waliofaulu wakafika mpaka chuo kikuu kwa kufundishwa na huyu mwalimu warudishe vyeti vyao? Kwa kuwa...
  12. Juma Mboto

    Wazo deni la taifa yaani (debt ceiling) liwekwe kwenye katiba

    Hakuna sababu ya jambo hili kwasababu deni la taifa halilipiki. Kama ukufuatilia huko nyuma ilikuwa wazi kuwa hatutafanikiwa kulipa hayo madeni hata siku moja. Vile vile siyo kila deni huwa linalipwa. Madeni mengine yanabaki madeni milele.
  13. Juma Mboto

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    Leseni za biashara zitolewe TRA, na ziwe zinantolewa kila mwaka kama Motor Vehicle Licence. Na kwa vile leseni hizo zitahusisha TIN na namba ya simu na GPS coordinates za bishara hiyo itarahisisha ukusanyaji wa kodi kwa wale wakwepaji. Pia kila aina ya leseni itakuwa na kiwango cha chini cha...
  14. Juma Mboto

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    Hili swala la kodi za Tanzania si rahisi kama linavyozungumziwa. Kila ninayemsikia anasema wengine walipe kodi, wafanyabishara wakubwa walipe kodi nk. Lakini kodi za Tanzania ni kama ifuatavyo: 1. Kodi ya Mapato ambayo wanalipa wale wanaolipwa mishahara tu na baadhi ya wanfanyabiashara...
Back
Top Bottom