Na sisi pia tuondoe Masanamu ya Kizungu kama USA!

ONTARIO Alitoa Nukuu moja Katika Vitabu Alivyosoma Iliyosema " iQ ya MTU huathiriwa kutokana na mazingira yaliyomzunguka mtu Huyo" Ni kweli Yale masanamu yanaharibu Akili zetu yavunjwe Tu waweke Hata Sanamu za Mlima wa Kilimanjaro Tutangaze Utalii.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
tuondoe sabab tunambagua nan?

wabaguzi tz ni wahindi na waarabu tuu... na sidhani kama kuna masanamu yao!!!!

try me
 
Akili za kushikiwa.. Wasingefanya hivyo wamarekani hio idea ungetoa wapi?

Sasa unajiona mzelendooooo...
 
Mimi ninafikiri Mwenge wa Uhuru ni jambo la maana sana, unatakiwa uwe sehemu ya kusherekea sikukuu ya Uhuru, tarehe 9 Dec. Ningependekeza kwenye sherehe za Uhuru, kuwe na nafasi ya Mwenge kuingia rasmi na kuzimwa rasmi baada ya kutekeleza majukumu yake. Jambo hili litaondoa mjadala wa Mwenge kwa kuwa utakuwa ni sehemu kamili ya kusherekea Utanzania wetu.
 
Sasa hivi huko USA kuna vurugu kubwa ambapo Wazungu na Weusi wenye mlengo wa kushoto wanaondoa na kuharibu Masanamu yote yenye kumbukumbu za Kihistoria kwa madai kwamba walikuwa ni Wabaguzi, sasa na sisi tunangoja nini kufuta matakataka ya sijui Livingstone alilala hapa, lake Viktoria, Sanamu ya kumbukumbu wa Askari wa Kihindi mtaa wa Samora, Makaburi ya Kizungu Upanga, tubadilishe yote!

Ikumbukwe kwamba kwetu tumefundishwa Ukoloni ni unyonyaji sasa iweje tunatunza kumbukumbu zao ili hali Wazungu wenyewe wanabomoa? , ...

3000.jpg

2156.jpg

3300.jpg

4096.jpg

3000.jpg

4289.jpg

3000.jpg

2048.jpg

Na sisi tuondoe hii takataka!

Askari-Monument.jpg

179.JPG

maxresdefault.jpg

P2212955-Livingstone-Museum-1018x460.jpg
Mkuu kwa kuwa wamarikani wanaondoa na sisi yuwafuate?
Kesho wakifanya ushoga kwa sababu ni wamarikani tuwafuate ?
 
Sasa hivi huko USA kuna vurugu kubwa ambapo Wazungu na Weusi wenye mlengo wa kushoto wanaondoa na kuharibu Masanamu yote yenye kumbukumbu za Kihistoria kwa madai kwamba walikuwa ni Wabaguzi, sasa na sisi tunangoja nini kufuta matakataka ya sijui Livingstone alilala hapa, lake Viktoria, Sanamu ya kumbukumbu wa Askari wa Kihindi mtaa wa Samora, Makaburi ya Kizungu Upanga, tubadilishe yote!

Ikumbukwe kwamba kwetu tumefundishwa Ukoloni ni unyonyaji sasa iweje tunatunza kumbukumbu zao ili hali Wazungu wenyewe wanabomoa? , ...

3000.jpg

2156.jpg

3300.jpg

4096.jpg

3000.jpg

4289.jpg

3000.jpg

2048.jpg

Na sisi tuondoe hii takataka!

Askari-Monument.jpg

179.JPG

maxresdefault.jpg

P2212955-Livingstone-Museum-1018x460.jpg
Kwa upande wa Tanzania hatuna sanamu zenye kuleta matatizo. Kule India walilazimika kuondoa sanamu za watawala wa kiingereza baada ya Uhuru 1947. Baada ya dola za kukomunisti kuanguka 1989 - 1991 sanamu za viongozi wa kikomunisti zilidodnoshwa, na Saddam Hussein yake 2003. Tukumbuke sanamu hizi zilikuwa zimewekwa katikati ya miji zikiwa na lengo la kisiasa. Kuhusu sanamu za Confederacy, tatizo kubwa ni conferedrates hawajakubali kushindwa, hivyo kulazimishia hizo sanamu na misimamo mingine yanamizizi kwenye huko kutokukubali kushindwa. Hata kuendeleza sera za kibaguzi, lengo siyo ubaguzi wenyewe bali ni muendelezo wa itikadi ya confederacy. Mimi sioni sanamu yoyote ambayo ni tatizo hapa Tanzania, Askari Monument ya DSM, Moshi, Arusha, Songea, Mtwara, Bukoba zinashuhudias ushiriki na ushindi wa Watanzania katika vita. Ukiondoa ya Dar es Salaam ambayo iliwekwa na Waingereza 1922 kutambua mchango wa wananchi katika vita vya kwanza vya dunia, zingine zote zimewekwa kusherekea ushindi wa Tanzania kwenye vita vya Kagera. Sanamu ambazo ni sanaa huwezi kuzijadili kwa vile malengo yake ni mengine.
 
Back
Top Bottom