Recent content by juma digo

  1. juma digo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sema bigboi mtu sana Salute man
  2. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    naanzaje kwenda.... mwiz kupewa ruhusa ya kuiba ushaona wap
  3. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    😁😁😁 kwamba jamaa kamtegea ka ulingo sio....
  4. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  5. juma digo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wadau kuna wimbo wa kiasili unaimba.... "Ooh nyamala mwanangu utapata mwali mwingine baba" Mwenye kujua jina la wimbo au alieuimba tafadhari.
  6. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Nilidhani nishajua style zote za kitandani mpaka juzi niliposikia chumba cha jirani:- Baby panda dirishani ufanye kuidondokea...!!! 😜😁
  7. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hii ya leo kali kinoma 🙌Yaani Nimelala chumbani kwangu eti Asubuhi Inafika, Nimejikuta nipo chumba cha Dada wa kazi...😳 Kweli Dunia Inazunguka! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  8. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Sio kila mwanamke anaekuomba hela ana shida nazo...... mwingine anataka ushindwe kumpa muachane tu. 😆😆😆😆 nadhani wanaume tutakua tumeelewana.....
  9. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Ukiona umemtext inbox mdada halafu hajakujibu ujue ameangalia DP yako picha amekagua Sana halafu akajisemea kimoyomoyo:- "Huyu mkaka Mimi hapana kwa kweli!!"!! jiongeze.... 😁😁😁😂😂
  10. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Jamani waandishi tuwe makini.... Bibi mmoja amerudi nyumbani na mahindi yake, baada ya kukuta mashineni pameandikwa TUNAKOBOANA KUSAGANA FAKA 😆😆😆😁😁
  11. juma digo

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    ooh my favorite agent Han tae hyuk.... bado sijaona series yenye akili kama hii
  12. juma digo

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Nyie mlionitakia heri na mafanikio katika mwaka mpya wa 2018 napenda kuwajulisha kwamba bado sijafanikiwa na siku ndio kama mnavyoziona zimebaki chache tu mwaka uishe! kwahiyo mi niwaeleweje?
Back
Top Bottom