Kama una stress, Pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako!

PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
8,688
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
8,688 2,000
Waungwana kama utamsikia mtu anauza gari aina ya v8 new model nzuri, ina vibali vyote.
Kwa bei kati ya milion 600 mpaka 500 rangi yoyote haina shida. Wee mwache tu auze mi sina hela
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
8,688
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
8,688 2,000
Kuna jamaa kwenye daladala hapa anaongea na simu ilikuwa hivi "haloo leo sitaweza kuja kwani nimepanda gari moja na mumeo"
unaambiwa wanaume wote wenye wake wamemng'ang'ania jamaa aonyeshe hiyo namba aliyokuwa anaongea nayo.
 
K

kidwise

Member
Joined
Jan 3, 2019
Messages
43
Points
95
K

kidwise

Member
Joined Jan 3, 2019
43 95
Harusi za Marekani
Walioalikwa :100
Wanaohudhuria kanisani :80
Wanaohudhuria ukumbini :70
Wanaotoa Zawadi:65
Vitu vilivyopotea : 0
Harusi za Uingereza
Walioalikwa :50
Wanaohudhuria kanisani :50
Wanaohudhuria ukumbini :40
Wanaotoa Zawadi:40
Vitu vilivyopotea : 0
Tanzania sasa
Walioalikwa :500
Wanaohudhuria kanisani :38
Wanaohudhuria ukumbini :1300
Wanaotoa Zawadi:70
Vitu vilivyopotea : simu 20,vijiko 300,visu vya kukatia keki 15, camera 1,chupa 2 Za wine, mdada kutongozwa na kudate na Mgeni mmoja wapo, wavulana kutafuta demu mpya, zawadi kuibwa, viti vilivyovunjika 50,meza zilizovunjika 5,watu kuondoka na mapambo, wamama kuondoka na misosi na nyama kwenye mikoba sijui huwa tunakwama wapi.
noma sana
 
ROBERTO 20

ROBERTO 20

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
2,812
Points
2,000
ROBERTO 20

ROBERTO 20

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
2,812 2,000
Tupo kwenye kampeni ya kutokomeza askari feki Kwa kufanyaje?Ukimkuta askari yeyote mzabe kibao.Jana nilimzaba kibao mwanajeshi akakimbia nikajua huyo alikuwa feki.Tusaidiane kutokomeza askari feki nchini.Ukimuona askari we mzabe kibao akikimbia jua huyo ni feki Asipokimbia Mungu akutie nguvu
 
ROBERTO 20

ROBERTO 20

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
2,812
Points
2,000
ROBERTO 20

ROBERTO 20

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
2,812 2,000
Rafiki yangu alikuwa
amesinzia tukiwa darasani,
nikachukua simu yake
nikabadilisha alivyosave
namba yangu nikasave "lovely
dad" (ndivyo alivyokuwa
amesave jina la baba yake
mzazi)
Nikamtumia SMS "mwanangu
nimeshinda millioni 100 toka
BIKO, na sasa hivi tutakuwa
na maisha mazuri. Acha
shule njoo tupange tutafanya
biashara gani"
Rafiki yangu baada ya
kusoma sms akanyanyuka na
kukusanya kila kilicho chake
akaanza kuondoka.
Alipofika mlangoni mwalimu
akamuuliza unaenda wapi
bila kuomba ruhusa?
Akageuka akamwonyesha
mwalimu kidole cha kati,
akaachia mfyonzo mkali kisha
akasepa.
Sasa hivi ananisaka kinyama,
nani anajua sehemu nzuri ya
kujifichia
 

Forum statistics

Threads 1,316,463
Members 505,652
Posts 31,891,362
Top