Kama una stress pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako!

A

Abasi isiaka

Member
Joined
Aug 18, 2019
Messages
5
Points
20
A

Abasi isiaka

Member
Joined Aug 18, 2019
5 20
Gud
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni burudani tupu

Ukivisoma mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja

Leo kidogo nipigwe na mwanamke baada ya lifti kusimama,wakati tupo kwenye lifti Nilikua nayaangalia maziwa yake akasema "Bonyeza Moja" mimi si nikalibonyeza yaani hadi sasa bado najiuuliza nilipokosea ?

Hivi utajisikieje utakaposikia rafiki yako wa karibu hajaja kwenye mazishi yako ?Nadhani mimi sitamwongelesha tena !
nafikiri nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahati mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa karibu na mimi akaanza kuzililia.imebidi nivae earphones,napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini, warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka eti tunaogopa kupita peke yetu na mm nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa..
 
M

madhara

Member
Joined
Aug 26, 2019
Messages
12
Points
45
M

madhara

Member
Joined Aug 26, 2019
12 45
Mama kaleta mahind ya kuchoma AF kaend ndani sas hapa nipo na sindano ya viatu nataka akitoka niwe nshamaliza kuyachome ajue mwanae mchapakazi
 
G'taxi

G'taxi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
3,575
Points
2,000
G'taxi

G'taxi

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
3,575 2,000
Ni vyema sana kwa ucheshi maana huchangamsha akili na kumuweka mtu hulu..lakini cha ajabu kila baada ya sms mbili kushuka chino unakutana na ucheshi wenye maudhui ya matusi.sisi waTanzania sijui tuna tatizo gani
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,450
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,450 2,000
Ni vyema sana kwa ucheshi maana huchangamsha akili na kumuweka mtu hulu..lakini cha ajabu kila baada ya sms mbili kushuka chino unakutana na ucheshi wenye maudhui ya matusi.sisi waTanzania sijui tuna tatizo gani
Tunapenda sana nyuchi, keshokutwa idadi yetu itakuwa 57,000,000
 

Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,714
Top