Tanzania hii hii ya magufuri. kilimo cha bangi kilitakiwa kipewe kipaumbele. kama wanavyosema "Tanzania ya kijani"
basi pia waseme
"Tanzania ya bangi"
yani mashamba ya bangi yanatakiwa yawe kama mashamba ya mkonge huko tanga na mikoa mingine.
duh watanzania sijui tunakwama wapi.. hii si ndo fursa ya kuchangamkia. kuanza kulima bangi na kuisafirisha nchi jirani, nasisi baada ya miaka mitano. tutakua kwenye uvutaji wa kati.
tz hakuna chakujijitea. kutokana na mikataba tuliyosaini ya kimataifa wana haki ya kusema, hata sisi tunaweza kuwakosoa maybe U.S armies kwa kuingilia migogoro ya nchi fulani. ni woga wetu tu so sioni kama kuna shida katika hilo.
Duh kwakweli siwezi kufanya biashara yenye hasara. kuna axkal kenya kamxomexha mtoto wakike chuo na kumpa mama yake hela ya matumizi mwisho wasiku mtoto wakike ana dgree anamwambia jamaa huna hadh ya kuwa namim tuachane kila mtu afanye mambo yake nimepata bwana mwingn ni meneja wa sheli kadhaa...
excuse me wakuu,
Nina wakati mgumu coz huwa ninatongozwa na wasichana mpaka sasa wanne hivi kwa nyakati tofauti hao ndi nimekua nao kwenye mahusiano, ila sasa ninaowataka mimi siwapati huwa nikiwaambia ukweli wananiweka pending et tutakufikiria. na mim nikiambiwa hivyo huwa nakata tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.