Tanzania yaongoza Afrika katika kupambana na Rushwa, matumizi bora ya pesa za umma na kurudisha nidhamu Serikalini

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Shirika la Transparent International, limeitaja Tanzania kuongoza Africa katika mapambano dhidi ya rushwa, na matumizi bora ya Fedha za umma serikalini.

Hii ripoti ya 2019, imetoka kipindi ambacho rais wa nchi jirani aneamua kuendeleza matumizi yake ya hovyo kwa kukodi ndege ya kifahari ya kibinafsi badala ya kukodi ndege za KQ, kwenda Jamaica kutafuta wawekezaji wa mziki wa Reggae na KILIMO cha bhangi kuwekeza nchini mwake.

Tusishangae ndani ya miezi mitatu ijayo tukisikia nchi hiyo ikitembeza bakuli zingine kwa majina ya "Eurobond 7", ili kumuwezesha rais wao kuendelea kuzurura duniani" Aimlessly ".
 
Jamani me naongelea hii hapa.
 
Ukiona shirika la mabeberu linakupamba ujue wanavuta kasi ili waje wawaibie. Hata Osama walimpamba Kama mpigania haki na walipo mtumia akageuka gaidi
 
Shirika la Transparent International, limeitaja Tanzania kuongoza Africa katika mapambano dhidi ya rushwa, na matumizi bora ya Fedha za umma serikalini.

Hii ripoti ya 2019, imetoka kipindi ambacho rais wa nchi jirani aneamua kuendeleza matumizi yake ya hovyo kwa kukodi ndege ya kifahari ya kibinafsi badala ya kukodi ndege za KQ, kwenda Jamaica kutafuta wawekezaji wa mziki wa Reggae na KILIMO cha bhangi kuwekeza nchini mwake.

Tusishangae ndani ya miezi mitatu ijayo tukisikia nchi hiyo ikitembeza bakuli zingine kwa majina ya "Eurobond 7", ili kumuwezesha rais wao kuendelea kuzurura duniani" Aimlessly ".

Piga kazi Mheshimiwa Rais,we support you.Tumeibiwa sana,miaka 50 ya uhuru hatuna cha kujivunia,very sad and shameful indeed.Pole poole unaondoa aibu yetu.Hongera sana.
 
Badilisheni na sala hapo lumumba,iwe baba yetu uliye chattle
 
Shirika la Transparent International, limeitaja Tanzania kuongoza Africa katika mapambano dhidi ya rushwa, na matumizi bora ya Fedha za umma serikalini.

Hii ripoti ya 2019, imetoka kipindi ambacho rais wa nchi jirani aneamua kuendeleza matumizi yake ya hovyo kwa kukodi ndege ya kifahari ya kibinafsi badala ya kukodi ndege za KQ, kwenda Jamaica kutafuta wawekezaji wa mziki wa Reggae na KILIMO cha bhangi kuwekeza nchini mwake.

Tusishangae ndani ya miezi mitatu ijayo tukisikia nchi hiyo ikitembeza bakuli zingine kwa majina ya "Eurobond 7", ili kumuwezesha rais wao kuendelea kuzurura duniani" Aimlessly ".

Watakapomkamata na kumuhukumu........ndo ntajua kuwa wako vizuri, vinginevyo mimi naona na sarakasi tu wanafanya
 
Shirika la Transparent International, limeitaja Tanzania kuongoza Africa katika mapambano dhidi ya rushwa, na matumizi bora ya Fedha za umma serikalini.

Hii ripoti ya 2019, imetoka kipindi ambacho rais wa nchi jirani aneamua kuendeleza matumizi yake ya hovyo kwa kukodi ndege ya kifahari ya kibinafsi badala ya kukodi ndege za KQ, kwenda Jamaica kutafuta wawekezaji wa mziki wa Reggae na KILIMO cha bhangi kuwekeza nchini mwake.

Tusishangae ndani ya miezi mitatu ijayo tukisikia nchi hiyo ikitembeza bakuli zingine kwa majina ya "Eurobond 7", ili kumuwezesha rais wao kuendelea kuzurura duniani" Aimlessly ".

Hongera raisi magufuli.
 
kwanza uache ulanguzi wa kilumumba sema utafiti wa kifala wa Global Corruption Barometer Africa wti utafiti kuonyesha rushwa imepungua ni watu kuwa na imani kuwa imepungua hopeless kabisa tafiti za bara jeusi
 
Back
Top Bottom