July Ernest
Member
- Aug 6, 2019
- 25
- 12
- Thread starter
- #21
duh mbona mnabishana badala ya kunisaidia
Kiben 10 gani kitakachonifata mie mlalahoi ninayetanga na njia kila kukicha?Mbinu zangu za kuendesha gari ni za left hand nasikia hazitumiki tena saivi.
Hivi hamna hata kiben 10 kilichojaribu kukutupiamo ndoano, umpunguzie angalau tumbinu tuwili?
Nipe jibu, acha longolongo zakoOhooh, disco naona limeingia mhadzabe.
Hahaha, tena walala - hoi ndo wanapendwa na viben 10 sababu wanalala wakiwa hoi na wala sio wasumbufu.Kiben 10 gani kitakachonifata mie mlalahoi ninayetanga na njia kila kukicha?
Hizo zilikua ni hadithi nilikua nasimuliwa na babu yangu, mimi ndio kwanza najiandaa na mitihani ya lasaba B.Nipe jibu, acha longolongo zako
Hahaha, tena walala - hoi ndo wanapendwa na viben 10 sababu wanalala wakiwa hoi na wala sio wasumbufu.
Hizo zilikua ni hadithi nilikua nasimuliwa na babu yangu, mimi ndio kwanza najiandaa na mitihani ya lasaba B.


Kumbe nawe u kiben 10? Basi sichezi tena na wewe 


Aisee, kabla hujaondoka tupe kwanza ushauri mimi na mtoa mada tunakwama wapi?Kumbe nawe u kiben 10? Basi sichezi tena na wewe
![]()
We nae yani wafananisha mmiliki wa sheli ama kusomesha mtu varsity na gharama yaDuh kwakweli siwezi kufanya biashara yenye hasara. kuna axkal kenya kamxomexha mtoto wakike chuo na kumpa mama yake hela ya matumizi mwisho wasiku mtoto wakike ana dgree anamwambia jamaa huna hadh ya kuwa namim tuachane kila mtu afanye mambo yake nimepata bwana mwingn ni meneja wa sheli kadhaa hapa nairobi. jamaa akamwita home wayaongee yaishe dame alipofika tu karamba risasi 47. yaani ni tundulisu pekee ndio angeweza kusurvive.
?pizza si buku 15?ama uko secondary na still wategemea wazazi?alichomaanisha mtoa comment ni kuwa onyesha effort kuwa uko serious na unamhitaj huyo gal.Ushauri wangu ni kwamba, kama shule imewashinda njooni huku Malinyi niwape shamba mlime.Aisee, kabla hujaondoka tupe kwanza ushauri mimi na mtoa mada tunakwama wapi?
Wanakutongoza.excuse me wakuu,
Nina wakati mgumu coz huwa ninatongozwa na wasichana mpaka sasa wanne hivi kwa nyakati tofauti hao ndi nimekua nao kwenye mahusiano, ila sasa ninaowataka mimi siwapati huwa nikiwaambia ukweli wananiweka pending et tutakufikiria. na mim nikiambiwa hivyo huwa nakata tamaa simfatilii tena. asa sielewi nakosea wapi au nikipi sijafanya ama niwapi unahisi nakosea. na hao wanaonitongoza huwa sidumu nao wananileteaga zalau na majibu ya ovyo.
Kiufupi wanawake wanataka SALARY.Wanawake hawatongozwi siku hizi. Mpigie simu tuma vi text vya hapa na pale mtoe out mbili tatu mnunulie pizza mara burger wadada wanapenda kula kula. Muonyeshe unamjali... mwanaume ni effort. Baada ya mda mtajikuta mpo kwenye mahusiano.
Wanawake wana aibu sana huwezi ukamwambia "nakutaka" na yeye akakijibu "nakutaka pia"
Sawa mama, tumekuelewa.Ushauri wangu ni kwamba, kama shule imewashinda njooni huku Malinyi niwape shamba mlime.