Hili jambo linawatesa watu wengi

Hadi watakapoacha kubebeshwa zigo la misumari(mila za kizungu) lililowashinda ULAYA hadi kurasimisha ndoa za mikataba, kufuta HAKI SAWA(50%/50%) ndipo wataolewa sababu asili zetu Wanaume haziwezi kubadilika kamwe kiuwajibikaji katika ndoa hata mwisho wa dunia.
 
Back
Top Bottom