Duuu mimi nilikua natembea kuelekea home nikapande daladala jamaa alikua na gari ananiita flani mi nilimcheki kwa jicho baya nikajisemea kirohon.
Watu wengn bwana wakiazima magari ni shida tupu. Niko kweny daladala kumbe na yeye alishuka kweny gari lake...
mmmh bwana kila mtu na utamu wake kwanza unene so poa wamezoea stly moja kifocha mende .hawana ujuz kitandani hata kidogo wananuka kwanzza kuwa na mwili wa wastan so mnene sana so mwembamba sana .inapendeza hvy na mvuto kitandan unakuwepo
Mara nying na ni kitu kipo waz nyumba ndogo zinajua kulea inavyotakiwa baathi ya wanawake walio kwenye ndo wanajisahau sana hususa kuwatunza waume zao. So mbayq ukipata wakukusaidia .alwyz mke mdogo ni mzuri kuliko mkubwa .nimawazo yngu
Nina shida jamni mimi ni msichana nina mi miaka 20 tu nina mpenz wangu tumebahatika kupata mtt wa kike ana mwaka sasa siku ya kwanza nakutana hy mzazi mwenzangu kweli tulikua km marafiki nakumbuka katika story zetu mi nilimwambia staki kua na mahusiano Ma mume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.