kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
- Thread starter
- #21
mmh naona moyo uliochoshwa na mateso na maumivu ya ndoa pole dada.
ila io sio suluhu, rudi kwa mungu piga goti atabadirika.
Ndio naitafuta ndoa
mmh naona moyo uliochoshwa na mateso na maumivu ya ndoa pole dada.
ila io sio suluhu, rudi kwa mungu piga goti atabadirika.
Weka picha tuone:
Njoo kwangu tuendeleze gemu wee kubwalamaadui
Bodaboda was never made to kill...lakini Ukimwi ni natural killing machine in its own.
Namna kuu ya kuambukiza sote twaijua...
mimi huwa nalisema hili kila siku watu hawanielewi......^^
Kulipiza kisasi ni sawa na kunywa sumu ya panya,,halafu unakaa pembeni kusubiri panya afe
^^
Nimeshakwambia kupima muhimu!
Sio lazima sex
1.zidisha upendo kwa mumeo ili asikugundue
2.heshima izidi maradufu kwa mumeo
3.kutaneni sehemu za mbaliiiiii na nyumbani.
,4.tafuta kidumu 40 and above
5..awe ameoa pia ili msianze kugandana na kuharibiana.
6.ikiwezekana tafuta kisafari uongo na kweli mkaenjoy.
ANGALIZO
1.special for married women only
2.kupima kwanza.
3.penetration sex is not necessary.
KAMATA FULSA TWE NZETU.
SIO KUJILIZA KILA SIKU UNAPATA MIPRESSURE MWISHOWE UJE UFE NA KUACHA WANAO NA MAMA WA KAMBO.
ACHA KUSUMBUA WAZAZI NA KUWAPA PRESSIRE NA MIKESI YA USULUHSHI YASIYOISHA.
Hii ndio only dawa ya BROKEN HEART.
KAMA INAKUKERA PITA KIMYA.
Huyu niliyenaye akisema tu anaenda kuhalalisha ndoa atanikoma.
Nasubili kuvaa shera baada ya hapo tutapishana guest.
Bye
Kama kuishi kiaminifu ni ushamba afadhari niwe mshamba mpendwa wangu . Kucheat haingii akilini kabisaaaHuu uzi ni wa KIPUUZI....
Yaani badala ya kupeana somo tuishi vipi kwenye ndoa zetu tunafundishana kucheat...
Hebu tujifunze kutoka kwa bibi zetu ambao wamedumu na babu zetu hadi leo...sio kama wanaume walikua hawana maudhi that time lahasha walikua nayo mengi pengine kuliko wanaume wa sasa ila walikua wana busara sana na kufanya kila njia kuboresha ndoa zao na kusameheana n.k....
Mie mshamba....
Kama kuishi kiaminifu ni ushamba afadhari niwe mshamba mpendwa wangu . Kucheat haingii akilini kabisaaa
Shida kubwa ya matatizo yaliyomo kwenye ndoa mengi yanasababishwa na lack of communication. Halafu kama mtu anamwamini Mungu kwanini usijaribu njia ya maombi mbona nayo ina majibu mazuri tu. Kuzini ni kujivunjia heshima tu kama naona mambo hayaendi bora kutengana kuliko njia ya cheating.Weee subiri tu hapa lazima tuonekane tumepitwa na wakati ila mie hata sijali...
Watu wanacheat kwa kutizama tu mapungufu ya wenzi wao ila hawatizami mazuri yao pengine ni mengi kuliko kero...
kusali mtu unasali my dear,lakini sm pains ar way too much to handle,