Mbona Nape majukwani tunamsikia bado anainadi chama, labda lipi aliloliongea baya kwa mtukufu!!!! Hizi zama ni za chuma na teknolojia cyo ya mawe, nahisi bado upo zama za chuma ambapo mtukufu alikuwa hasemwi, hata ccm haina kitu kama hicho!!!
Unajua ndugu huwa cpati picha, na haini ingilii akilini, ivi msajili wa vyama huwa anapewa kitu gani au alisafiri kimawazo!? Huyu huyu ajiitae profesa si alijing'atua na kujiuzulu uenyekiti kipindi cha nyuma hapo tena bila ya kushinikizwa na kudai kuwa atakuwa mwanachama wa kawaida, leo hii...
Ivi umelelewa vzuri wewe mtoa post!? Unaona sifa kutoka na mke wa mwanaume mwenzio!!!? Jinga sana, subiri wa kwako nae atatafunwa tena hadharani, malipo hapahapa duniani
Kweli wanaume tuna kazi, wewe mwanamke una akili kama mbayuayu, ukapimwe vzuri akili zako, unashindwa kufanya kazi za maana unabaki kuchepuka, unapata pesa unaoonaa siiiifa!!!! Hovyo kabisaaaa!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.