ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
- Thread starter
- #141
Lengo langu sio baya mm nisha acha huo mchezo lengo ni kuwafumbua machoombegu uliyoipanda matunda yake utayala tu jua na wa kwako lazima utamegewa tu.
Lengo langu sio baya mm nisha acha huo mchezo lengo ni kuwafumbua machoombegu uliyoipanda matunda yake utayala tu jua na wa kwako lazima utamegewa tu.



Usiwagonge ama uwagonge, ujue wewe utagongewa tu.Acha usenge bro kwani wanawake wengine hujawaona mpaka uchukue wake za watu? moja ya vitu ambavyo sijawahi kufikiria ni kugonga mke wa mtu kwanza nahisigi hadi kinyaaa we mademu kibao unaweza ukawachukua hadi kwa mafungu we unang'ang'ania mke wa mtu ngoja siku ufumuliwe malinda ndio utajua hizo code zako zinaweza kufungua hata puru yako![]()
Si umeninunulia raba za loso au umeshasahau?Hahahahaaaa.....
Umenikumbusha hii soda aisee......
Halafu wewe nawe siku hizi kwanini huvai yale malapa yako ya Skywei?
Hahahahaaaaa.....Si umeninunulia raba za loso au umeshasahau?
hahahaha nakuooona mwenyewe na la kuchumpa la kupalama lako!Hahahahaaaaa.....
Au zile za DHL...
Daaah!!
I miss "those" days....
Wapige tu mkuu, ni watamu kishenzi.Katika vitu ambavyo navikimbia kama ukoma ni MKE WA MTU!