Hata mtoto wa prof. Kamuzora yumomzumbe imewapa sana watu digrii kwa kuanzia certificate tu..
mtu anaishia form 4, anasoma zake certificate kisha digriiii.. hana haja ya a level wala diploma
Hata mtoto wa prof. Kamuzora yumomzumbe imewapa sana watu digrii kwa kuanzia certificate tu..
mtu anaishia form 4, anasoma zake certificate kisha digriiii.. hana haja ya a level wala diploma
Kuwa na certificate co tatizo inawezekana akawa na certificate kumbe alifaulu vizuri na wakati anasoma hyo certificate alisoma form v/vi private akafaulu na kuunga degree.xo isiwe shida/tatizo.Sawa unaweza kuwa sahihi kwa upande mmoja lakini pia kosa kwa upande mwingine kilichobora kama ungegundua mapungufu/madhara yake kiutendaji kwenye jamii inayohusika/inayomzunguka unaweza kuta yeye ni BORA zaidi na ana IMPACT kubwa kuliko wewe hata kukuajiri wewe, nachojua mm watu wa aina hii wana self initiative and determination na wako very commited kuliko nyie mnao rizika vipanga wapo wengi tu na hutaweza kumkwamisha kamwe (certificate to degree huyo ni genius kuliko wewe)
Exactly mkuuHakuna cha busara tufuate utaratibu certificate to degree kwanini ukiruka diploma? Division 4 form six to degree hakuna ujinga huo
" ... degree za chupi ..."Kuna wahitimu inasemekana wanapewa degree za chupi, hawa nao tunawabaini namna gani?
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
wala hakuna shidaNikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
Wewe unafanya kazi wapi!???? Inaonekana umeshindwa kazi, za kufanya!!!!!Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
Samahan mkuu..kwa wale diploma holder unapoapply degree!!matokeo ya form four hana umuhimu?Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.