Recent content by Julias

  1. J

    JamiiForums Tanzania Niko Njia Panda... Msaada Please

    Well,Da asia ushauri wangu kwako ni 'FOLLOW UR HEART' coz huwezi amua kuishi na mtu just bcoz anakupenda 2 bt wewe huna 'appetite nae' huna stim,not compatible,not same hobby,interests,zenyewe haziendani m-baba....hutakuwa unaitendea nafsi yako haki...huwezi nunua 'amani,furaha ya moyo wako na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lina simama tu!

    Apige zoezi la kutosha hasa kukimbia,push up,na maombi au kujihusisha na mambo ya dini itampunguzia feelings....au kama vp atafute manzi tu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    E bwana mkuu huku naona watu wanaku enjoy tu cha kufanya wewe nenda kwa watalaamu wa maswala ya saikolojia watajua nini cha kukushauri.....hizi ni blablaaaaaaaaaaaaaaaaaa tu..
  4. J

    JamiiForums Tanzania kwa wadada wenye wachumba tu

    Wabongo sometyme 2nakuwa so rigid kubadilika kimtazamo....i don't why?what ur saying 'simle' is good and real positive idea so u don't need 2 pretend if u real know who ur ar some days 2 come u will be married......behave accordingly 2 ur status....
  5. J

    JamiiForums Tanzania Madakatari wakosa kauli juu ya Mponda/Nkya

    Inakuwaje wanakosa cha kusema na walishajiwekea masharti ya kuacha mgomo? Tatizo haliko kwa waziri wala naibu wake....it is the system in the ministry...kuwatoa na kuweka wengine will not solve the problem but can make it more worse than before....THINK BEFORE U ACT DO N'T BE LIKE NARROW MINDED...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dada si ndio atalala kabisa

    Dogooooooooooooooooooo......janjaaaaaaaaaaaaaaaa lime win kuonaa kikojoleo cha msista wake sasa ungemalizia hapo kidogo maza ake alisemajee?maana dogo lilijua kila anayechuchumaa anatanua kinyeo chake atoe kimba......
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uongo

    Huyu dogo naye ana akili kama za kima angemwambia mi sijui au akipata nauli ndo atarudisha makanyagio yake nyumbani....nna uhakika yule mzee angeishiwa maneno...
  8. J

    JamiiForums Tanzania ..usiniumizie..

    USINIUMIZIE...........nini kikojoleo au? Tembeza kichapooo jombaaaaaaaaaaa ili huyo kapuku akomee kula vya watu.....nyang'au mkubwaa....
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ulevi noma

    Huyu naye inaonyesha ni chapombeeeeeeeeeeeeeeeeeee kapukuuuuuuuuuuuuuu kapurunangaaaaaaa......mzoefuu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu Sumu.

    Daaaaah................Hiyo komesha jamaa kamezeshwa kimbaaaaaaaaaaaaaaaaaa kiboyaaaaaaaaaaaa....komaaaa kula kikojoleo cha mtu.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ufunguzi unadoda hapa live from usa

    Weraaaaaaaaaaaaaaaaaa....hii kali bwana heheheeee....sasa huo mziki waliouweka na ma-stage show wao aka wakata mauno wamewasaidia nini? kilichobaki washajua kwamba hawafagiliwi na mtu so cha kufanya ni kutumia chapaa kuzichakachua kura za walalahoi.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bado natafakari kauli ya Malima kwamba zile silaha ni mtaji mkubwa wa maisha!

    Wizi mtupu....sasa kiongozi anamiliki silaha kama SMG yenye uwezo wa kubeba risasi 30 halafu anasema kwamba ndo mtaji wake wa maisha inaonyesha wazi kuwa huwa inatumika kwa shughuli za uhalifu mara nyingi sababu sidhani kama sheria za nchi zinaruhusu silaha kama hiyo kumilikiwa na mtu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini Mwanafunzi huyu?

    Kama ni real story cha kufanya inabidi uongee na mwl. wa malezi mshauriane juu ya nini cha kufanya kabla ya kuongea naye kama staff mwenzenu mkiona jamaa siyo mwelewa inabidi sheria ifuate mkondo wake....na hatua kali za kisheria zichukuliwe...lakini pia huwezi jua labda denti pia amekupenda...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je ugovi wa mume na mke ndani ya nyumba unasababisha kutokutoaa matumizi?

    kiswahili chako kina utata kama ana govi mshauri aende kwa daktari akalitoe...kama ni ugomvi ndiyo unaomsababisha asitoe matumizi inaonyesha bado ana hasira na siyo mwelewa anataka ujue kwamba yeye ndo kidume...hapo kwake....
  15. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

    This is amazing coz i wonder what happens 2 MAT leaders walivyokutana na JK ikulu, inaonyesha JK ana kipaji cha aina yake kuweza kuwashawishi madaktari kusitisha mgomo bila masharti yoyote,na kuahidiwa madai yao yatashughulikiwa....kuna ukweli wowote hapo?Na hili swala la kumkataa Waziri na...
Back
Top Bottom