Jonogomero
Member
- Feb 8, 2012
- 99
- 27
Kitu John alishangaa sana alipoona dada yake anakojoa akiwa kachuchumaa, si unajua yeye alizoea kuchuchumaa wakati wa haja kubwaaa! Faster kamfuata mama yake aliyekuwa sebuleni na wageni na kumpa habari et "we mama check dada Linda eti kukojoa tu anachuchumaa je ingekuwa kunya si ndio angelala kabisa. Qwi qwi qwi