Lina simama tu!

kwan ukisema ni wewe itakuaje? Mtu uko kwenye net hakuna anayekuona. Sasa kama ni hosptal ungesema pia ni jamaa yako ndo ana tatizo
 
Apige zoezi la kutosha hasa kukimbia,push up,na maombi au kujihusisha na mambo ya dini itampunguzia feelings....au kama vp atafute manzi tu...
 
Kuna kijana ameniomba ushauri lakini nimekwama kwani sio mjuzi sana, ana miaka23 lakini cha kupendeza hajawahi kuingiliana na mwanamke! Siku za karibuni uume wake umekuwa ukisimama kwa muda mrefu kiasi kwamba hawezi kuchomekea na kupita mbele za watu, hata asipokuwa na mawazo ya mapenzi bado mbegu zinamtoka tu, hajui afanyeje! Nawasilisha kwa niaba yake.....!%*¥¤..!

hili ni ttz linaitwa mdindocology tiba yake ni kuziba jicho la tatu kwa gunzi kila wkt kitu ikiwa ON!!
 
Hivi ichi chama inakuwaje mtu anajiunga,me nakumbuka ilinitokeaga ghafla tu nikajokuta ni mwanachana,ckujifunzaga wala cikuambiwa na mtu!

Kazi kweli kweli... unanikumbusha sekondari, uzuri wa chama hili ni free entry free exit.
 
Kuna kijana ameniomba ushauri lakini nimekwama kwani sio mjuzi sana, ana miaka23 lakini cha kupendeza hajawahi kuingiliana na mwanamke! Siku za karibuni uume wake umekuwa ukisimama kwa muda mrefu kiasi kwamba hawezi kuchomekea na kupita mbele za watu, hata asipokuwa na mawazo ya mapenzi bado mbegu zinamtoka tu, hajui afanyeje! Nawasilisha kwa niaba yake.....!%*¥¤..!

Hii inaonesha kuwa rafiki yako hana kazi za kufanya ni ndiyo maana misuli yake inakaa kuhitaji kufanya kazi. Hata hivyo kama hali inamtesa sana mshauri ajikipi bize ama kwa kufanya mazoezi ama kwa kufanya shughuli ndogo ndogo za maendeleo kama vile kumwagilia maua nyumbani, kulima bustani na hata kufagia uwanja kama si kupalilia.
Si kweli kwamba jitu linasimama tu pasipo kuwa na mawazo kama yale kwani kusimama hutokana na fikra zinazojengeka katika ubongo.
 
huyu si mgonjwa! ana sexual psychological problems. huyu hatakiwi hata kupanda daladala, atachafuka mwenyewe na kuchafua dada zetu. inambidi afikirie masomo zaidi kuliko kuwaza ngono. chaputa hakuna madhara ila yaweza kuwa mazoea baadae! pole, bookua dogo, tanzania yahitaji bado wasomi. usiwaze sana chini ya kitovu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom