..usiniumizie..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Jamaa alirudi nyumbani kutoka kazini mchana bila kumtaarifu mkewe! Kufika akaingia ndani moja kwa moja, akamkuta mkewe kavaa chup* peke yake, yupo na njemba kifua wazi wamekumbatiana. Jamaa akamwanzishia yule njemba varangati la kufa mtu, huku mkewe akishuhudia! Kipondo kilipozidi, mke wa jamaa akaenda kugombelezea huku akimwambia mumewe kwa sauti iliyolegea: "USINIUMIZIE"..
 
ye ye ye yee yeee yee yeeee!!!! Yaaaaaaaaaaaaaaaaniiiiiiii...nita m'banika mwanamke huyooo!
 
USINIUMIZIE...........nini kikojoleo au? Tembeza kichapooo jombaaaaaaaaaaa ili huyo kapuku akomee kula vya watu.....nyang'au mkubwaa....
 
Back
Top Bottom