Recent content by julaibibi

  1. julaibibi

    JamiiForums Tanzania CASH vs CASHLESS

    Elimu ndogo pia makato makubwa sana. Mwenye nafuu ni azam pesa tu. Kwanza nenda kakkoo weng unakuta anakwamnia lipa namba ina shida ndio mpaka unashangaa shida gam kumbe aanahis atafatiliwa kodi kule. Unakuta mitandao wana lipa namba zao ila makato yake makubwa utafikir wanahamisha pesa. Teeego...
  2. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mamba tulio nao Tanzania ni wakali sana? Jihadhari na mito au sehemu za maziwa zenye mamba Tanzania

    Hivi pangani pale hawapo? Mana ukifika pale ule mto umejikunja unailbngia habarin.na utakuta wana ka panton kao kapo pale
  3. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Andiks uneumia.
  4. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

    na yeye ajipigie posho kwan anashindwaje kuandaa activities
  5. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ya Marekani, wamarekani wengi weusi kwa weupe wanakimbia Marekani na wanasema hawarudi tena.

    Sasa lazim nyumba ziwe ghali sabab wanataka ufate requested plan waone maj taka yanaenda wap,maji saf sio kama afrika mmnajijengea holela.kule vitu sio holela.na kama wewe ni dini flan jiweke busy na community yako mbona hapa maryland islamic community watu wana enjoy wanafanya ibada zaobna...
  6. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    Yupo kule anadai mirathi ya shemej yake
  7. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Hakuna notion hio. Mali zilizotafutwa na wengine ni msemo tu unakuja kwa labda una nia ya dhuluma. Wewe,mim na kila mtu ni marehem watatajiwa kwa uwezo wa mungu. Kwa hio kama tukisema ok kila mtu atafute vyake.umekufa so asset zote zako tukazigawe mskitin au makanisan.na watoto wako wawe mitaan...
  8. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Seneta Sharafadeen akosolewa vikali baada ya kumpakata na kumpapasa kijana wa chuo aliyeenda kuomba Ufadhili

    Gen z nae labda sijuinkwa kweli mungu atunusuru. Kwanza kwa nin akubali kupakatwa
  9. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Acheni dhuluma.mnataka kuwadhulumu watoto . Kwanza ni dini gani? Pili kama wewe humezei mali za marehemu mate kipengele gani unasema kimebadilishwa ilihali umeshasema mmekubaliana mali za marehem zibak kwa mke na watoto? Wewe una janja janja. Mnatumia dini gani? Ili usaidiwe hapa kiihakika hizo...
  10. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Kwanza uelewe muhtasari wa familia sio doc rasmi inayohitajika katika mashaurinya mirathi. Unaweza usiwepo
  11. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Na ndio iliyo kweli. Zanzibar walikua na kiti umoja wa mataifa leo hakipo dogo hilo?? Tunakitaka kiti chetu UN
  12. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Umma Wekeni Wataalamu Kwenye Mabanda ya Maonesho, hawa wengi Mnaotuwekea uwezo mdogo

    Hapo wanalogana anataka kila event asafiri yeye apate hio perdiem na saa nyingine waandamiz unakuta wanaona sio ishu nenda ukapate wewe hio laki 6.
  13. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ukinunua ardhi TAUSI kupata hati ni kipengele?

    Mim nina swali moja. Mfumo wa Tausi wanatoa grace period ya muda mfupi sana. Hasa dodoma swal je kwa mfano umelipa ikabak hela labda mil.1 ila muda ule.ukawa umepita je ile hela ambayo umeshalipa kama mil 6 inapotea? Maana ukiingia tausi angalia kule mahomanyika malipo 50% na inayobak wanakupa...
  14. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ni mboga dawa nzur sana. Ila lazima uyachuje hata mara 4 maji ya moto kuondoa uchungu. Unataka hela wakat hata majukum hujapandisha
Back
Top Bottom