Recent content by juju man

  1. J

    JamiiForums Tanzania Laana iwe juu yako Profesa Rwekaza Mukandara kwa 'Slogan' hii

    wakwere tayari maisha bora wameyapata kwa kitendo cha ndugu yao kuwa raisi hahaha
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Kuna nyoka mwenye ndimi mbili ndani ya Nyumba ya CCM

    likiota ulimi wa tatu...litawameza wote
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amgaragaza Mwanasheria mkuu wa serikali

    masuala ya ushabiki wa chama ni ubinafsi...huwezi ukamsifia werema kwa lolote....kwanza alikua jaji wa mahakama ya kazi...then akateuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali...mhimili wa serikali na mahakama unaingiliana....shame kwa werema ...shame jkwa aliemchagua.....#NO BALANCE OF POWER AT ALL
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa kwanza,Kituko cha kwanza...

    habari picha pliz
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mbinu hii, CCM 2015 wanashinda

    cdm kuzungumzia matatizo ya rushwa haitoshi...je wakichukua nchi watachukua hatua gani....kushuka kwa elimu....watachukua hatua gani pia....ukosefu wa walimu.....wataumia njia za chama tawala....au kuna njia mpya...je na kama njia mpya ni zipi....DAFTARI LA WAPIGA KURA NALO LIMECHANGIA CDM...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Malima: 'Chama kitukufu cha CCM... pigeni makofi'

    kikwete akiondoka kuna watu ataondoka nao....sio wakomavu kisiasa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Chadema njooni mchukue kadi yenu

    akapimwe....sio mkomavu wa kisiasa coz politics touches all sphere of life
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe wanaelekea 51% share sisi tunashindwa nini?

    IN our country they changed the meaning of public interest....maana kuwa mikataba ni siri kwa manufaa ya umma....umma upi...viongozi au wanaanchi.......mikataba yote lazima ile inakua approved na bunge.....kuwe hakuna siri....yoyote kwenye mikataba....tanzania tuna madini mengi....kwanini...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe wanaelekea 51% share sisi tunashindwa nini?

    i do not make enemies.Others make me an enemyof theis.." robert mugabe in his book DINNER WITH MUGABE untold story
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania, utaitaje hii??? Tuna tatizo, tujitathmini tena.

    we can differ in opinions bt not facts
  11. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Rais 2015: Utabiri Wa Mshindi Baina ya CCM na CHADEMA

    wapiga kura wapya wako kundi gani
  12. J

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI wa MADIWANI: CCM Kata 22 kura 29,000; CHADEMA Kata 5 Kura 28,800

    daftari la kudumu la kupigia kura lilelile...vijana wangapi wamefikisha umri wa kupiga kura.....hawana vitambulisho....hakuna uboreshaji wa daftari mara kwa mara....alafu unashangilia ushindi upi na kwa lipi na kwa manufaa gani....ili iweje...:confused::confused:.UKOSEFU WA UKOMAVU KISIASA
  13. J

    JamiiForums Tanzania African Eagle sees Tanzania nickel production in 2016

    jamani kila madini yanachimbwa..........vizzi vijavo vitanufaika na nini.............jamani jamani ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:A S angry:
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mgombea udiwani CHADEMA Msalato akuta bundi chumbani kwake.

    piga picha na bundi.........ili tukuamini.............:whistle:
Back
Top Bottom