Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
Ongezea na wakerewe, wazanaki, waikizu.....
wanyambo!
Ongezea na wakerewe, wazanaki, waikizu.....
Nahisi wewe ni mtani wao, sijui watani wa wahaya ni kina nani!
Vitu vyote nilivyoviitaja vilikuwa live Mkuu...
Ni kituo cha Mabasi ya Mikoani Ubungo. Naingia kukata tiketi ya Arusha. Nimeshaipata. Sasa wakati natoka nje,nawakuta madereva wa taksi na bajaji wanawazonga vijana wawili:mmoja msichana,mmoja mvulana. Nikasogea kuona na kusikia. Walikuwa wanazongwa ili wapande kwenye ima bajaji au taksi ili wapelekwe UDSM kwakuwa ndio wamefika kama wanafunzi wa mwaka wa kwanza.
Kwa uzalendo wangu kama mwana-UD wa zamani nikaingilia kati na kuinunua kesi. Nikawasogeza pembeni wanafunzi wale. Wakaniarifu mengi. Kubwa ni kwamba wanataka kufika UDSM. Wamebeba unga,mchele,maharage,mafuta ya kupikia na mafuta ya taa. Wa kike amebeba na sufuria na baadhi ya vyombo vya chakula. Si mchezo!
Sasa kituko: wakaniarifu kuwa wao ni ndugu wanaotokea Bukoba. Wakasema kuwa wameambiwa nyumbani kuwa wakae chumba kimoja ili kupunguza gharama. Wahakikishe inakuwa hivyo. Ni lazima. Itawezekanaje ikiwa UDSM kuna hosteli za kike na za kiume? Mwisho mwishoni,nikawachukua garini mwangu hadi UDSM. Nimewashusha stendi ya Utawala.Nikawauliza:mnahitaji msaada wowote mwingine? Wakajibu:'hapana kaka.Hapa tumeshafika.Asante sana'. Kazi ipo...
Mi nilifikiri haya mambo kwa miaka hii yameisha, kumbe bado yapo!, kuna haja ya wageni wa maeneo mbali mbali nchini kupata taharifa ya mahala uendapo mapema, vinginevyo utaingia kwenye mitego ya matapeli.
Wakora waitu,na mbakashebonoko
Hapana Mkuu. Mimi ni mgoni,no Mngoni...
Mkuu,sitanii mimi ni Mngoni. Mama amezaliwa Likuyu Fusi na Baba amezaliwa Peramiho-Parangu.Ufuna nijoha kyani namyangu?Hahahah!! Unatuhusudu eenhe!! We were born Kings, we live happy life. The whole world knows and admires us! There is no way you can be born Mngoni!! Anyway ukitaka dada Snowhite AKUOE ili watoto wako wawe WANGONI. Karibu