IN our country they changed the meaning of public interest....maana kuwa mikataba ni siri kwa manufaa ya umma....umma upi...viongozi au wanaanchi.......mikataba yote lazima ile inakua approved na bunge.....kuwe hakuna siri....yoyote kwenye mikataba....tanzania tuna madini mengi....kwanini yachimbwe kwa wakati mmoja vp kuhusu manufaa ya vizazi vijavyo....VAMPIRE LIKE POLITICIAN ARE GOIN TO HARM US
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.