Kwa mbinu hii, CCM 2015 wanashinda

Kwa mbinu hii, CCM 2015 wanashinda

Watanzania hawataki kabisa siasa za fujo,vurugu,mauaji na kupigana kama ilivotokea singida,morogoro na iringa

ACHA KUTUMIA ****** KUFIKILI WE JUHA MKUBWA PIA MNAFIKI MKUBWA WEWE, IVI VURUGU ZA IRINGA NA IKAPELEKEA KIFO CHA MWANGOSI WAANZILISH NI AKINA NANI? PIA MOROGORO NI NANI ALOANZISHA ZILE VURUGU? SHAURI YAKO ENDELEA KUYATUMIA MAKALIO KUFIKILI V SOON UTALAMBA MAVI MNAFIKI MKUBWA WEWe
 
elimu ya uraia ndo dawa pekee juu ya madudu haya yanayoendelea

hamna cha elimu wala nini, watu elimu wanayo ya kutosha na wanajua kadi zao zinafanyiwa nini, lakini njaa inasababisha hivyo mtua anakaa mwezi hajapata elfu 20 ya pamoja, kwa nini asitoe.
 
Sorry Hii Sii Kweli!.
CCM itashinda tena 2015 kwa sababu zile zile zilizoifanya CCM ishinde chaguzi zilizotangulia kwa ku capitalize on Tanzanians ignorance!.

Chadema kupitia M4C are doing "the right thing" kuwaelimisha Watanzania maovu na mapungufu ya CCM!. Ili kupata kura za kutosha 2015, doing the right thing alone is not enough!, they got to "do things right" kwa kuwapatia Watanzania solid reasons to vote in CDM!. Lazima kijipambanue kitafanya nini tofauti na CCM!.

Hivyo 2015 CCM itashinda tena sio kwa sababu inapendwa sana!. No!. Itashinda kwa mtindo wa "zimwi likujualo!" kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala!.
P.
Umesema kweli Pasco, ila ninaomba nitoe mfano mdogo ambao untanisaidia kujenga hoja yangu:
Mdogo wangu mmoja alikuwa anzungumza na baba yetu mzazi kuhusu jambo fulani. Mdogo wangu aliulizwa na baba, akasema hivi kama umemaliza siku tano bila ya kupata chakula na siku ya sita ghafla ukakutana na mtu akakwambia kati ya mkate huu na kipande hiki cha dhahabu unachagua nini, na nikupe sasa hivi! Mdogo wangu akajibu, bila shaka dhahabu! Baba akamwambia sio kweli kwa maana sheria ya uhai inapingana na majibu yako. Utachagua mkate kwa maana kwa wakati huo mkate una maana sana kwa maisha yako.

Sisi tunaosema kuwa watanzania ni wajinga hatuwatendei haki, wanajua kilichobora kwa wakati husika. Viogozi wengi wamewadanganya watu kwa muda mrefu sasa, kiasi kwamba watu hawana uwezo wa nani mkweli na nani mwizi wao! Wote wanafanana. Wale wote unaowaona wanachagua upinzani, wana mkate tayari,wanayo karo za kuwalipia wanao katika shule bora kabisa na wanayoelimu bora ukilinganisha na wale wanao waunga mkono CCM.

Ukienda vijijini unakuta mtu anaenda hospitali na kapero na T shati ya CCM ambayo sasa imeishapoteza rangi na sasa hivi inamatobo kibao. Ukweli ni kwamba zile kapero na Tshart zilizotolewa wakati wa uchaguzi ndizo hizo wanazozitumia katika maisha yao ya kawaida. Na wengine ni za kutokea. Wewe angalia ziara za kawaida za viongozi wa chama na serikali, wakati viongozi wamevalia suti zao za mtoko wao waevalia Tsharti za CCM au kanga ya CCM. Na ndio maana T-shart zinatengenezwa kila mwaka wa uchaguzi. Mpokeaji wake anyeivaa mpaka inachanika hauwezi ukasema ni mjinga, huyu ni maskini hohe hae.

Tuachane na lugha za ulaghai kwamba ukichagua CDM/CUF/TLP/NCCR utapata maendeleo! Ukisha chaguliwa ukiulizwa maendeleo yako wapi jibu linalotoka ni " sisi chama chetu hakikuunda serikali, hatukusanyi kodi, maendeleo waulize CCM wanaokusanya kodi zenu". Huu ni ujinga mwingine abao watanzania wanauona na kwa hiyo wamekosa matumaini kabisa. Sio wajinga, ni wakweli kwa nafsi zao, ni masikini wasiokuwa na mbele wala nyuma na kusema kweli wanjitambua.

Ukweli ni kwamba kinacholeta maendeleo kinaweza kupatikana hata bila ya kuuda serikali na hata bila kukusanya kodi. Haihitajiki kuunda serikali ili uweze kuokoa matunda yanayooza kwa kukosa soko huko Tanga. Haihitaji kukusanya kodi ili uweze kulipia ada ya watoto kumi yatima na maskini katika kila wilaya ya Tanzania.

Kama mambo yatakuwa haya kila mwaka unategemea nini?
 
Nakubaliana na Pasco kwamba tatizo ni 'conscientisation' kama asemavyo Freire, ambayo itapatikana kwa njia ya elimu tu. Watu wakitambua kwamba wanaweza kufanya transformation kisiasa, hawatakubali kuuza kadi zao za kura! Watajua kwamba matatizo yetu hayakushushwa na Mwenyezi Mungu na si laana pia. Kwamba mustakabali wa maisha yao upo mikononi mwao. Bado jamii yetu ina watu wengi wenye 'naive ideas'
 
Watanzania hawataki kabisa siasa za fujo,vurugu,mauaji na kupigana kama ilivotokea singida,morogoro na iringa
Inaonesha umedhamiria kuongeza idadi ya post zako humu JF hata kama ni kwa kuandika utumbo,kila la kheri mkuu!
 
Uchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga kura kwa kutumia kadi hizi tulizo nazo.
Kwa mfano Kata mojawapo ya mkoani Shinyanga CCM wameshinda kwa kura 200 huku wakiwa wamenunua kadi 700 kwa Shilingi elfu 20 kila kadi sawa na shilingi milioni 14 kwa kadi zote 700. Shinyanga mjini kuna kata 17 wanazoweza kununua kwa milioni 238 kama wakiamua. Milioni 238 si pesa kubwa kwa matajiri wa CCM hata mmoja tu anaweza kuzitoa.
Ujinga ni mwingi kwa wapiga kura wengi na njaa ni kali! wanakubali kirahisi kuuza kadi zao kwa elfu 20 tu tena wanajipeleka wenyewe!
Ili kudhibiti mbinu hili chafu, cha kufanya ni kutafuta uwezekano wa haraka wa namna gani Watanzania tupige kura bila kutumia kadi hizi zinazonunulika kirahisi.

Mtaji wa Magamba ni wajinga na maskini... ndio maana cku hizi wanafaulisha wasiojua kusoma na kuandika ili wazidi kushinda kwa kishindo "wasiosoma chakula cha waliosoma"
 
Umesema kweli Pasco, ila ninaomba nitoe mfano mdogo ambao untanisaidia kujenga hoja yangu:
Mdogo wangu mmoja alikuwa anzungumza na baba yetu mzazi kuhusu jambo fulani. Mdogo wangu aliulizwa na baba, akasema hivi kama umemaliza siku tano bila ya kupata chakula na siku ya sita ghafla ukakutana na mtu akakwambia kati ya mkate huu na kipande hiki cha dhahabu unachagua nini, na nikupe sasa hivi! Mdogo wangu akajibu, bila shaka dhahabu! Baba akamwambia sio kweli kwa maana sheria ya uhai inapingana na majibu yako. Utachagua mkate kwa maana kwa wakati huo mkate una maana sana kwa maisha yako.

Sisi tunaosema kuwa watanzania ni wajinga hatuwatendei haki, wanajua kilichobora kwa wakati husika. Viogozi wengi wamewadanganya watu kwa muda mrefu sasa, kiasi kwamba watu hawana uwezo wa nani mkweli na nani mwizi wao! Wote wanafanana. Wale wote unaowaona wanachagua upinzani, wana mkate tayari,wanayo karo za kuwalipia wanao katika shule bora kabisa na wanayoelimu bora ukilinganisha na wale wanao waunga mkono CCM.

Ukienda vijijini unakuta mtu anaenda hospitali na kapero na T shati ya CCM ambayo sasa imeishapoteza rangi na sasa hivi inamatobo kibao. Ukweli ni kwamba zile kapero na Tshart zilizotolewa wakati wa uchaguzi ndizo hizo wanazozitumia katika maisha yao ya kawaida. Na wengine ni za kutokea. Wewe angalia ziara za kawaida za viongozi wa chama na serikali, wakati viongozi wamevalia suti zao za mtoko wao waevalia Tsharti za CCM au kanga ya CCM. Na ndio maana T-shart zinatengenezwa kila mwaka wa uchaguzi. Mpokeaji wake anyeivaa mpaka inachanika hauwezi ukasema ni mjinga, huyu ni maskini hohe hae.

Tuachane na lugha za ulaghai kwamba ukichagua CDM/CUF/TLP/NCCR utapata maendeleo! Ukisha .....

Nimekubali sana hoja yako mkuu Mechard.
 
ACHA KUTUMIA ****** KUFIKILI WE JUHA MKUBWA PIA MNAFIKI MKUBWA WEWE, IVI VURUGU ZA IRINGA NA IKAPELEKEA KIFO CHA MWANGOSI WAANZILISH NI AKINA NANI? PIA MOROGORO NI NANI ALOANZISHA ZILE VURUGU? SHAURI YAKO ENDELEA KUYATUMIA MAKALIO KUFIKILI V SOON UTALAMBA MAVI MNAFIKI MKUBWA WEWe

Mimi ni miongoni mwa Watanzania wanaohitaji mabadiliko. Lakini ninahofu na MALEZI ambayi ndugu yetu KASHAROBABA umeyapata toka utotoni. Kwa kifupi michango yako ina lugha zisizokuwa na adabu. Unawadhalilisha waliokulea
 
acha kuwa na habari za udaku una ushaidi kwanza.
 
Ccm wanatekeleza sera wewe nawaambia hapa 2015 mtapigwa chini mbaya nyie propaganda nyingi hamna uhalisia mnataka umma uamini kuwa ur the party to be bestowed trust ya watu kuongoza nchi ur wrong
 
Uchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga kura kwa kutumia kadi hizi tulizo nazo.
Kwa mfano Kata mojawapo ya mkoani Shinyanga CCM wameshinda kwa kura 200 huku wakiwa wamenunua kadi 700 kwa Shilingi elfu 20 kila kadi sawa na shilingi milioni 14 kwa kadi zote 700. Shinyanga mjini kuna kata 17 wanazoweza kununua kwa milioni 238 kama wakiamua. Milioni 238 si pesa kubwa kwa matajiri wa CCM hata mmoja tu anaweza kuzitoa.
Ujinga ni mwingi kwa wapiga kura wengi na njaa ni kali! wanakubali kirahisi kuuza kadi zao kwa elfu 20 tu tena wanajipeleka wenyewe!
Ili kudhibiti mbinu hili chafu, cha kufanya ni kutafuta uwezekano wa haraka wa namna gani Watanzania tupige kura bila kutumia kadi hizi zinazonunulika kirahisi.

Labda nikuulize kidogo hivi ccmafisi wanaponunua kadi ina maana siku ya kupiga kura inakuwaje. Mie nijuavyo ni kuwa mwenye kadi anaenda kupiga kura mwenyewe na jina lake kupata tiki baada ya kupiga kura. Na kama wananunua kadi na kubaki nazo inakuwaje mimi nilieuza kadi yangu nisipoenda kupiga kura. Si itaonekana sikupiga kura. Au inakuwaje wananunua na kupiga kura na kuziweka kwenye masanduku za kwao ebu naomba ufafanuzi kidogo
 
Watanzania hawataki kabisa siasa za fujo,vurugu,mauaji na kupigana kama ilivotokea singida,morogoro na iringa

Ila watanzania wanataka kufa kwa kukosa madawa hosipitalini na huduma nyingine za jamii, watanzania wanapenda maisha magumu na duni, mlo mmoja kwa siku, watoto wao kukaa chini madarasani, wagonjwa kulazwa wawili kwenye kitanda kimoja. maisha bora utayatengeneza wewe mwenyewe mwananchi. aidha kuleta mabadiliko na kuona yatakufikisha wapi, sababu mabadiliko ni muhimu kwa binadamu ili yakupeleke juu au yakurudishe chini
 
cdm kuzungumzia matatizo ya rushwa haitoshi...je wakichukua nchi watachukua hatua gani....kushuka kwa elimu....watachukua hatua gani pia....ukosefu wa walimu.....wataumia njia za chama tawala....au kuna njia mpya...je na kama njia mpya ni zipi....DAFTARI LA WAPIGA KURA NALO LIMECHANGIA CDM KUSHINDWA...hakuna oboreshaji....wapiga kura wengi ambao ni wapya hawajaandikishwa.....ata km 2015 watashinda....ila chama huzaliwa.hukua na kufa....kifo kiko njiani............RETHINK
 
Tatizo kubwa wal siyo sbabu ya CCM kupendwa au CHADEMA kuchukiwa,tatizo ni rushwa ilyo kidhiri.Kukiwa kweli kuna uchaguzi wa haki na TUME yetu ya uchaguzi itatenda haki na daftari la wapiga kura litakuwa linaboreshwa kila wakati kama siyo kila siku ,nin uhakika CCM kushinda itakuwa ngumu.Cha msingi watanzania tukazanie kupatiwa TUME huru ya UCHAGUzI na daftari la wapiga kura lifanyiwe marekebisho kila wakati na ikibidi liwe web yao ili kila mtu awe na uwezo wa kujua jina lake kama kweli ameandikishwa mahali sahihi na lipo sahihi.
Na marehemu wote wameondolewa na wale ambao hawakuwapo kwenye daftari hili kwa visingizio mbali mbali vya kupoteza vitambulisho,kuchelewa kujiandikisha,waliofikisha umri wa kupiga kura n.k waingizwe kwenye daftari kila mara.
Kuwepo na ofisi za kudumu za Tume hii ili kila mtu awe na haki ya msingi kwenda na kuhakiki kitambulisho chake bila bughudha wala upendeleo.
Tuache siasa za chuki na siasa za ugomvi.Tume iweke kwamba mtanzania yoyote anauwezo wa kupiga kura mahali popote ili mradi anatoa taarifa kwenye ofisi ya tume iliyo karibu kama masaa ishirini na nne kabla ya muda wa kupiga kura.
Tupo kwenye wakati wa technolojia ya kisasa tuende kisasa zaidi.
 
Uchunguzi wa kina na wa kweli wa kwa nini CDM imeambulia kata 5 tu katika chaguzi za kata za hivi karibuni umebaini kuwa mwaka 2015 CCM wana uwezekano mkubwa wa kushinda iwapo tutaendelea kupiga kura kwa kutumia kadi hizi tulizo nazo.
Kwa mfano Kata mojawapo ya mkoani Shinyanga CCM wameshinda kwa kura 200 huku wakiwa wamenunua kadi 700 kwa Shilingi elfu 20 kila kadi sawa na shilingi milioni 14 kwa kadi zote 700. Shinyanga mjini kuna kata 17 wanazoweza kununua kwa milioni 238 kama wakiamua. Milioni 238 si pesa kubwa kwa matajiri wa CCM hata mmoja tu anaweza kuzitoa.
Ujinga ni mwingi kwa wapiga kura wengi na njaa ni kali! wanakubali kirahisi kuuza kadi zao kwa elfu 20 tu tena wanajipeleka wenyewe!
Ili kudhibiti mbinu hili chafu, cha kufanya ni kutafuta uwezekano wa haraka wa namna gani Watanzania tupige kura bila kutumia kadi hizi zinazonunulika kirahisi.
You can buy some people sometimes but you can not buy all the people all the time. The bigest man you had ever seen was once a baby
 
Sorry Hii Sii Kweli!.
CCM itashinda tena 2015 kwa sababu zile zile zilizoifanya CCM ishinde chaguzi zilizotangulia kwa ku capitalize on Tanzanians ignorance!.

Chadema kupitia M4C are doing "the right thing" kuwaelimisha Watanzania maovu na mapungufu ya CCM!. Ili kupata kura za kutosha 2015, doing the right thing alone is not enough!, they got to "do things right" kwa kuwapatia Watanzania solid reasons to vote in CDM!. Lazima kijipambanue kitafanya nini tofauti na CCM!.

Hivyo 2015 CCM itashinda tena sio kwa sababu inapendwa sana!. No!. Itashinda kwa mtindo wa "zimwi likujualo!" kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala!.
P.

Pasco: Kwenye green you are absolutely right. If that evil was strategically nurtured for more than 50 years by CCM, ni kweli hakuna mbadala kwa sasa kwa kuwa wajinga ndio wengi. Kufuta ujinga inahitaji muda, mikakati na nyenzo mbali mbali. CDM inajua na inajipanga vilivyo na itakapochukua nchi it will be a quality nation with more enlightened population ready to participate in positive and sustainable development of our cuontry. My fear is, is the past, current and future CCM leadership and fans ready to give an opposition led leadership cooperation and respect in the same manner the opposition have offered so far? The answer to this question will truly define the intent of CCM to this country and its people!!!!!!
 
Tatizo kubwa wal siyo sbabu ya CCM kupendwa au CHADEMA kuchukiwa,tatizo ni rushwa ilyo kidhiri.Kukiwa kweli kuna uchaguzi wa haki na TUME yetu ya uchaguzi itatenda haki na daftari la wapiga kura litakuwa linaboreshwa kila wakati kama siyo kila siku ,nin uhakika CCM kushinda itakuwa ngumu.Cha msingi watanzania tukazanie kupatiwa TUME huru ya UCHAGUzI na daftari la wapiga kura lifanyiwe marekebisho kila wakati na ikibidi liwe web yao ili kila mtu awe na uwezo wa kujua jina lake kama kweli ameandikishwa mahali sahihi na lipo sahihi.
Na marehemu wote wameondolewa na wale ambao hawakuwapo kwenye daftari hili kwa visingizio mbali mbali vya kupoteza vitambulisho,kuchelewa kujiandikisha,waliofikisha umri wa kupiga kura n.k waingizwe kwenye daftari kila mara.
Kuwepo na ofisi za kudumu za Tume hii ili kila mtu awe na haki ya msingi kwenda na kuhakiki kitambulisho chake bila bughudha wala upendeleo.
Tuache siasa za chuki na siasa za ugomvi.Tume iweke kwamba mtanzania yoyote anauwezo wa kupiga kura mahali popote ili mradi anatoa taarifa kwenye ofisi ya tume iliyo karibu kama masaa ishirini na nne kabla ya muda wa kupiga kura.
Tupo kwenye wakati wa technolojia ya kisasa tuende kisasa zaidi.

Tetty: Nimependa jinsi unavyotoa mawazo ya kukabili changamoto zilizopo. Michango kama yako ndiyo itakayotoa majibu kwa maswali magumu kwa mustakabali wa taifa letu. HONGERA SANA. Kwa kuongezea, Tume ya Uchaguzi iandae mkakati wakutumia teknologia ya habari na mawasiliano kadri inavyowezekana ili kuepuka wizi wa kura na mambo mengine yanayoweza kupindisha haki kwa kuvuruga chaguzi mbali mbali.
 
Back
Top Bottom