Recent content by juhudiandrew

  1. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania nokia go affordable 2 feature phone na simu tatu za android

    Cmu ipi itakuwa nzuri katika swala la kukaa na chaji muda mrefu kati ya hizo.
  2. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Wadau matokeo J.mosi hii kwa wale wa Form 4

    Tumbo joto. Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio binadamu wa kwanza kufikisha followers mil 50 kwenye mtandao wa twitter

    Wapi Lady Gaga, kuna kipindi na yeye alikuwa anaongoza!
  4. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Basi la LEINA TOURS Kufika Kahama saa 12:00 Jioni kutokea DSM je ni halali?

    Huyu jamaa ni nomaa hapo tulikuwa tunachimba dawa, Singida Misigiri
  5. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Nauza king'amuzi cha star times 40,000

    Upo wapi?
  6. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani kujenga bandari mbili Dar es Salaam?

    Hivi, huyu kiongozi wa nchi hii ametokea wapi?
  7. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe Umaskini Basi? Almasi ya Kutisha yagunduliwa

    Chini ya Rahis Mugabe Madini hayo yatasaidia kukuza kipato cha nchi.
  8. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Wana JF nauza Samsung Home theatre yangu ipo katika Hali nzuri nimetumia mwaka mmoja tu!

    Bado cjapata mteja, sasa kaka nicheki basi kupitia hii Namba: 0767990855
  9. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Wana JF nauza Samsung Home theatre yangu ipo katika Hali nzuri nimetumia mwaka mmoja tu!

    Poa Mkuu sexologist, nitashukuru sana!
  10. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Wana JF nauza Samsung Home theatre yangu ipo katika Hali nzuri nimetumia mwaka mmoja tu!

    Cjakupata Mkuu wangu Shosholoza, unamaanisha ishu gani?
  11. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Wana JF nauza Samsung Home theatre yangu ipo katika Hali nzuri nimetumia mwaka mmoja tu!

    400,000 kaka lakini tunaweza kufanya bargaining Kama vp, mm nipo Kahama Shinyanga. Kwani ww upo wapi mkuu wangu!
  12. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Pole sana kaka, Mungu yupo pamoja nawe hapo chagua upi ni ushauri mzuri na kuu fanyia kazi ipasavyo
  13. juhudiandrew

    JamiiForums Tanzania Wadada Inawahu... Kila mmoja ajiasses!

    Mhhhhh...
Back
Top Bottom