Zimbabwe Umaskini Basi? Almasi ya Kutisha yagunduliwa

Zimbabwe Umaskini Basi? Almasi ya Kutisha yagunduliwa

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,096

Mgodi una ukubwa 10,000 Km2 na utaanza kuzalisha karibuni.

Una ukubwa sawa na nchi ya Swaziland.

Uko kwenye bonde la Umkondo.

Zimbabwe inaongoza kwa uzalishaji almasi duniani toka 2008.

Kampuni za utafutaji zilishirikiana Shirika la Maendeleo ya Madini la Serikali ya Zimbabwe.

Kwangu: Ardhi kubwa ingekuwa bado chini ya wazungu, utajiri huu ungeishia kwao.

Asante Mugabe kwa kuona mbali na kuleta sera mpya ya umilikaji ardhi na rasilimali.
Sourec: Daily Nation ya Kenya
 
Attachments

  • Diamond.png
    Diamond.png
    5.7 KB · Views: 1,849
Ah,kama namuona comrade mugabe vile anavyowakatia jicho uk.
 
Mgodi una ukubwa 10,000 Km2 na utaanza kuzalisha karibuni.

Una ukubwa sawa na nchi ya Swaziland.

Uko kwenye bonde la Umkondo.

Zimbabwe inaongoza kwa uzalishaji almasi duniani toka 2008.

Kampuni za utafutaji zilishirikiana Shirika la Maendeleo ya Madini la Serikali ya Zimbabwe.

Kwangu: Ardhi kubwa ingekuwa bado chini ya wazungu, utajiri huu ungeishia kwao.

Asante Mugabe kwa kuona mbali na kuleta sera mpya ya umilikaji ardhi na rasilimali.
Sourec: Daily Nation ya Kenya

nahamia huko! Hivi ubalozi wao upo wapi vike.
 
kuwa na madini ni jambo moja,madini kuleta manufaa ni jambo jingine,Tanzania ina ukwasi wa madini lakini umaskini umetamalaki

Kwanini Tz isijifunze toka Botswana? Iweje kila mahali Wa-Tzd wanaboronga. Labda katiba tutafurukuta.
 
Kinyume na Wabongo wengi tunavyo amini,Zimbabwe ni nchi iliyotawaliwa na rushwa ya hali ya juu! Makomredi na washirika wao wameidhalilisha Zimbabwe kwa kiwango cha kutia aibu!

Utajjiri huu ungeweza wanufaisha Wazimbabwe ktk kipindi cha utawala wa kibaguzi kulinganisha na utawala wa weusi uliojaa.mchwa ambao wanahamisha Zimbabwe kupeleka Ulaya! Mafisadi weusi wamemzunguka rais mkongwe na kuhakikisha haachii madaraka kwa maslahi yao!
 
sasa hiyo dhahabu watamuuzia nani ikiwa wazungu wote wamewasusa?
 
Back
Top Bottom