Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Mkuu usikate tamaa, kuna wakati tunapimwa tu but with time it gets off!
Inahuzunisha sana, huwez amini kuna kijana nina mazungumzo nae anauza figo yake m35 ili atumie ktk maisha yake. Kweli maisha ni magumu, ila umefanya vyema kwani hapa hutatoka kapa.
Jaribu kubadili mazingira, hata bush nenda tu mkuu, au kama ukipata upenyo jichomeke kwa wakimbizi wanaopelekwa abroad. Nimekutana na watz kibao wanaojifanya congolese kumbe walijichomeka na kuletwa huku ka refugees.
All in all Mungu akutangulie, ukifanikiwa uje kutoa mrejesho