Recent content by JUHUDI M

  1. JUHUDI M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

    Habari Wadau. Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake?
  2. JUHUDI M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa TRA Ulikuwa wa Haki

    Najiuliza maswali mengi sana kuhusu hii screenshot kama kweli huu ndio mtihani wenyewe:- 1-Kama huu ndio mtihani wenyewe alipata wapi kifaa chakupiga picha huu mtihani akiwa ndani ya chumba cha mtihani?? 2-Aliupiga picha huu mtihani akiwa ndani au inje ya chumba cha mtihani?? 3-Ulinzi uko...
  3. JUHUDI M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Kigamboni

    R.I.P
  4. JUHUDI M

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ya wanyama wanaoonekana wakiwa mbugani imetengenezwa

    Hii picha imetengenezwa kwa teknolojia ya akili mnemba..
  5. JUHUDI M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa 5 wa Polisi wakamatwa kwa kuomba Rushwa ya Tsh. Milioni 8.4 kwa Madereva

    Sheria ichukue mkondo wake,adhabu kali zakisheria zichukuliwe mapema ili iwe funzo na kwa wengine
  6. JUHUDI M

    JamiiForums Tanzania Israel: Wanafunzi Watanzania wawili hawajulikani walipo

    Mbona mapema huenda ni wazima wa afya
  7. JUHUDI M

    JamiiForums Tanzania Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

    Mungu awasaidie warudi mezani
Back
Top Bottom