Usaili wa TRA Ulikuwa wa Haki

Usaili wa TRA Ulikuwa wa Haki

Je waliorudishwa kwa kukosa vyeti vya bodi, nao walifanyiwa fair?
NB
Wameitwa kwenye usaili, na kutakiwa kwenda na docs, ambapo cheti cha bodi hakikutajwa kwenye barua&tangazo.
Yes wamefanyiwa Fair kabisa kiongozi, sasa unawekaje evidence ya qualification ambayo umeiweka kwenye CV yako, usiweke educational qualification ambayo bado cheti chake huna, unawekaje una CPA Wakati bado huna cheti cha CPA.
Kwa Position ya Accountant pia walitaka kwa Mtu kwenye Degree Plus CPA/ACCA, ukikosa evidence ya degree/CPA lazima uzuiwe.
 
Mm kwangu TRA wapewe tuzo. Ile mitiani kwanza waliotunga ni NBAA maswali kwanza ni kuchagua mtiani una maswali matatu ila kila swali lina vikings vozifyo pungua kumi na na tano ukiacha swali la misho ambalo lina hesabu kiasi. Ila ule mtiani watu wanaona ni mwepesi kwasababu ni kuchagua na true and false. Tuko hapa ukitoa ambao mtiani waliupata kabla ila ndo umeupata bila kuvuja ukipata maksi 70 wewe ni mwamba. Kwanini nasema hvyo ugopa swali linalo uliza vyote vyilivyo olozeshwa hapa ni sawa ila kimoja tu sio sawa. Swali linakuja hawa wote waliwai kuwa mazari wakuu orodha hipi sio sahii kwa mpangilio kutoka mwanzo mpaka mwisho. Jibu ni sawa maziri wakuu wote unawafahamu ila mtililiko wao unaufahamu wakwanza mpaka wa mwisho? Shida kubwa iko hapo.
 
Halafu hizi habari za pepa kuvuja (watu kuwa na mtihani kabla) pia nimeziona kwenye Comment za TRA watu wakilalamika, aisee kama ndo hivi basi ajira za TRA zirudishwe utumishi sasa.
Mfano hizi screenshot nilizoziweka utaona malalamiko na watu wameweka mpaka Maswali.
IMG_0174.jpeg
IMG_0170.jpeg
IMG_0171.jpeg
IMG_0172.jpeg
IMG_0173.jpeg
 
Waking mtu kapata kuanzia 100 mpaka 75 wawaite wote wenye hzo marks wawekwe kwenye chumba chao wanyanganywe cm wapewe mtiani mwingine uone kama watapata ata hamsini. Ile mitiani bila kupewa majibu ata 60 kuipata nikubatisha.
 
Natamani nitie neno hapa Ila nanyamaza 😊
 
Waking mtu kapata kuanzia 100 mpaka 75 wawaite wote wenye hzo marks wawekwe kwenye chumba chao wanyanganywe cm wapewe mtiani mwingine uone kama watapata ata hamsini. Ile mitiani bila kupewa majibu ata 60 kuipata nikubatisha.
Una hoja nzito Sanaa.
 
Yaan hapa ndio una kutana na TO wa mwaka wenu kidato kisha una mkong'ota na kumsandisha
 
Kwa maoni yangu, usaili ulikuwa wa haki, pepa ilikuwa fair, haikuwa ngumu wala haikuwa rahisi. Halafu ndo nini sasa kutuhesabisha vidole namna ile, wanatoa calculation halafu marufuku kutumia Calculator…..!!!
Toa maoni yako, pepa ilikuwaje kwako…

Nimeiweka Screenshot ya Calculation question kwa Watu waliofanya usaili wa TMO.
View attachment 3287373
Najiuliza maswali mengi sana kuhusu hii screenshot kama kweli huu ndio mtihani wenyewe:-

1-Kama huu ndio mtihani wenyewe alipata wapi kifaa chakupiga picha huu mtihani akiwa ndani ya chumba cha mtihani??

2-Aliupiga picha huu mtihani akiwa ndani au inje ya chumba cha mtihani??

3-Ulinzi uko wapi,Jeshi la polisi liko wapi,Serikali iko wapi??

4-Huu mtihani aliupata wapi mpaka akaupiga picha??
 
Jibu jepesi ni. Kwamba ulivuja
Watu walikuwa na pepa
NBAA nao hamna kitu
 
Halafu hizi habari za pepa kuvuja (watu kuwa na mtihani kabla) pia nimeziona kwenye Comment za TRA watu wakilalamika, aisee kama ndo hivi basi ajira za TRA zirudishwe utumishi sasa.
Mfano hizi screenshot nilizoziweka utaona malalamiko na watu wameweka mpaka Maswali.
View attachment 3288335View attachment 3288336View attachment 3288337View attachment 3288338View attachment 3288339
Ndio maana TRA officers ni kama wana laana vile, vijana walikesha na kukomaa kusoma lakini kumbe wapo watu tayari wana mitihani yenye majibu wameyakariri tu wanasubiri kuyamwaga tu. Ndio maana Kuna siku niliwaambia watu kuwa hizo ajira za TRA wanazogombania watu wa makundi matatu tu ndo watapata, la kwanza ni wale wa connection, la pili ni wale vipanga na la mwisho wale wenye bahati... Kiukweli vijana mna kazi sana, ndio maana serikalini hakuna uwajibikaji na mambo hufanyika hovyo hovyo kwasababu ya kujuana.
 
Najiuliza maswali mengi sana kuhusu hii screenshot kama kweli huu ndio mtihani wenyewe:-

1-Kama huu ndio mtihani wenyewe alipata wapi kifaa chakupiga picha huu mtihani akiwa ndani ya chumba cha mtihani??

2-Aliupiga picha huu mtihani akiwa ndani au inje ya chumba cha mtihani??

3-Ulinzi uko wapi,Jeshi la polisi liko wapi,Serikali iko wapi??

4-Huu mtihani aliupata wapi mpaka akaupiga picha??
Kuna jamaa yangu alipewa pepa mbili bahati mbaya moja karudi nayo mtaani usiogopeshwe na mambo haya
 
Kwahiyo licha ya kutumia CHATGPT lakini umekosa😅😅😅... Enewei wacha tuendelee kula ubwabwa sie.
Shida ni sheria za kodi zinabadilika kila kukicha kwa hiyo hapo bila sheria za kodi kuwa kichwani hufanyi hayo maswali
 
Waking mtu kapata kuanzia 100 mpaka 75 wawaite wote wenye hzo marks wawekwe kwenye chumba chao wanyanganywe cm wapewe mtiani mwingine uone kama watapata ata hamsini. Ile mitiani bila kupewa majibu ata 60 kuipata nikubatisha.
Ishatoka hiyo
 
Ndio maana TRA officers ni kama wana laana vile, vijana walikesha na kukomaa kusoma lakini kumbe wapo watu tayari wana mitihani yenye majibu wameyakariri tu wanasubiri kuyamwaga tu. Ndio maana Kuna siku niliwaambia watu kuwa hizo ajira za TRA wanazogombania watu wa makundi matatu tu ndo watapata, la kwanza ni wale wa connection, la pili ni wale vipanga na la mwisho wale wenye bahati... Kiukweli vijana mna kazi sana, ndio maana serikalini hakuna uwajibikaji na mambo hufanyika hovyo hovyo kwasababu ya kujuana.
Wataokpata 90% hawnaa njaa yaani wamekuja hapo kusecure mshahara ,ni watu wana uwanja mpaka wa kipato ... Watoto wa maskini ni wale vipanga kweli tangu chuo ndiyo wanapata.
 
Back
Top Bottom