Recent content by JtheQueen

  1. JtheQueen

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Hii ni epsode ya ngapi, wagombea vyeo mna kazi sana....
  2. JtheQueen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza, HIV + male aged 40-47 yrs

    Mimi ni mwanamke mjane, 42 yrs, HIV +, natafuta mwenza mwenye hali Kama yangu, kwa maelezo zaidi DM.
  3. JtheQueen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ana HIV, wazazi wanataka nimuoe

    Kuna jamaa ilimtokea issue kama yako, akamwacha mzazi mwenzie ambaye ni + akaenda kuoa binti mwingine na walicheki afya zaidi ya mara 2 kabla ya ndoa. Sasa hivi wote ni + kwani mkewe alikumbushia na ex wake bila kujua kuwa kaungua. jamaa anaomba kurudiana na mzazi mwenzie ili waishi kwa...
  4. JtheQueen

    JamiiForums Tanzania UDSM ni chuo dhaifu sana Afrika "Aibu kwa nchi"

    Mnyakyusa mmoja anaitwa Anangisye, hebu tumpe muda manake nasikia ana mikakati ya kukiboresha chuo kitaaluma kuliko ilivyokuwa.
  5. JtheQueen

    JamiiForums Tanzania Lady jaydee ndani ya 707 great Gatsby

    Warumi miaka yote niko JF kwa ajili yako ujue, unafurahisha sana na mineno yako.... Sichangii hoja mara kwa mara lakini nakusoma daily
  6. JtheQueen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliotoka tangu Darhotwire tukutane hapa

    Nilikuwa natumia jina la Beaty1 au mamawawili Sent using Jamii Forums mobile app
  7. JtheQueen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kujiua baada ya kugundua alinibambikia mtoto

    Yawezekana hata wewe sio mtoto wa unayemwita baba yako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. JtheQueen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Huwa sisomi hadithi humu, hii nimeisoma episodes zote... Lara 1 una kipaji kikubwa mnooo. Nakupenda
  9. JtheQueen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MAKASA: Bi Mkubwa (Mama mkwe)

    Bado tuuuuu?
  10. JtheQueen

    JamiiForums Tanzania Msaada madaktari kwa huyu mtoto.

    Nadhani huo ugonjwa unaitwa alopecia, niko tayari kurekebishwa... Google utauelewa vizuri
  11. JtheQueen

    JamiiForums Tanzania MSAADA Tafadhali: Mume ni HIV+, Mke ni HIV- na ana Mimba ya Miezi 4

    Nina kaka yangu na mke wake wana issue kama yenu kwa miaka zaidi ya sita, wanafuata masharti na wana watoto 2 wasio na maambukizi, kikubwa aanze dawa mapema na kuhusu ndugu zake asiwaambie so long as wewe unajua... ndugu wengi kibongo bongo wana chembechembe za unyanyapaa.
  12. JtheQueen

    JamiiForums Tanzania Kutembewa na kitu mwilini

    Mtafuteni jamaa mmoja FB anatumia jina la KUHANI MWANA WA LAWI, kuna mtu alimuombea kwenye simu tu amefunguliwa, pia hutoi hata shs. 10
  13. JtheQueen

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani wa hillsong united unaupenda sana?

    Napenda wimbo wa "open the eyes of my heart"
  14. JtheQueen

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

    Ndio, hapo ni kijiweni kwangu ila siku hizi sipapendi kihivyoooo pana kajiumbeya umbeya, nimehamia bulls
Back
Top Bottom