lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #961
Ghost na Kyle walirudiana kama utani na masikhara vile! Nikaamini kila jambo na wakati wake! Na jambo wakati wake ukifika huna haja ya kutumia nguvu sanaaa! Ni kama kumsukuma mlevi! Ukiona jambo lako unatumia nguvu nyongi mnoo mnooojua wakati si wake!
Mwanzo nilijua ngoma ya kitoto haitokesha! Nikaipa wiki 2 and i was being generous! Zikapita salamaaa! Nikaiongeza moja ya dakika za majeruhi! Ikaisha salama nayo! Mmmmmmhhh! Nikashangazwaaa! Na hiko kitendo!
Nikamwambia mlokole! Unajua Ghost na Kyle wamerudiana! Akaatukaaa! Haiwezekaniii! Nikamwambia ndo imewezekana! Akaaa kimya mda sanaa! Akasema shoga ako tumemkosaa! Nikastukaaa! Kivipi? Akasema Ghost anafingua kanisa, wamerudiana manake si ataenda kwenye kanisa la Ghost? Nikapata akili! Na jambo hili halikunifurahisha!
Asubuhi nikamfata Kyle kwake! Saa 2! Nishamzoea naingia mzima mzima mpaka chumbani! Roho ikasita kuingia chumbani nikaita sebleni! Akaja! Nikamwambia shoga nimeota jambo si zuri! Akauliza kuhusu nini? Nikasema Ghoooo....... akaniwahi shhhhhhhhh! Ananioneshea yuko chumbani! Nikazuga kuhusi mlokole! Tukawa tunamzuga ghost Kyle ananiambia omba sana na mie nitakuombea! Nikamwambia nigee na lile lace wig ndo nimelijia lile lako! Baadae naongoza ibada ni damshi! Akalileta! Nikatoka mkukuuuu!
Nikaona kweli tatizo lipo kubwa! Akaja kanisani baadae sanaa! Ananiambia Ghost alitaka tushinde woteee! Nikamwambia nimeota karudiana na Ghost alafu yupo kwenue shimo refuuuu sana! Yupo mpweke! Akatafakari akasema mbona mimi dunia haitaki niwe na furaha! Namkomalia inabido uachane nae mapemaa! Mi nakupenda na kukujali mdogo wangu we yule si unamjua? Hakujibu!
Watu wanadhani kuwa mama mchungaji ni rahisi sanaa! Si hivo hata kidogo! Kuna majaribu makubwa sanaa! Kama jaribu nalopitia sasa hivi! Kanisani kaja dada wa bank! Ana pesa zake! Ana pesaa! Afu lizuriiii balaaa! Ana mtoto mmoja! Anavodai kazini kwao wanamloga! Mlokole akampokea kama kondoo mwingine na kuanza kumfanyia ibada!
Sasa ibada yao ilipofika siielewi elewi! Maana juzi kamkatia tiketi waende wote marekani! Sikushirikishwa! Sema alichobugi anaemkatia tiketi huyo dada ni muumini wangu nilimfanyia ibada mpaka kaolewa! Ananiambia hawa wanakuzunguka nimewakomesha kukwambia! Wanaenda wote! Mimi ndo nakwambia na nimewakatia tiketi siti moja na hoteli moja!
Nimembanaaa nimembanaaa akasema yeye mlokole anaenda kwenye mkutano bibie anaenda likizo na mwanae! Nikaweka ngumu hakuna kwenda! Akasema yeye ana mtii Mungu kuliko mimi mwanadamu mwenzie! Trna akasema shetani pita nyuma yangu! Mimi msomaji huyu huyu leo bimegeuka shetani lenye pembe kumi na moja! Pesa hizi! Nikamwamvia ukiena ukirudi hinikutiii humu ndani! Hakujibu!
Leo ndo tarehe na kaondoka! Hajaniaga! Niliona dunia chungu! Nikapaki vitu vyangu na wanangu! Sahivi wa nne! Naenda kwa nani na mitoto minne! Nikawaza nirudi kwenye appartment yangu na wanangu! Ila uchungu wa moyo ukanoshoka sanaaa! Kyle akaomba aniendeshe kwenda huko na team yangu! Nilijuuuta kuzaa mitoto mi 2! Bora ningezaa mmoja tu! Kufika kuwaza nakuwa single mother tena nguvu za kushuka kwenye gari sikuwa nazo nikajikuta nalia upyaaa! Wanangu nao wakaanza kulia! Kyle akaonoa gari mpaka kwake!
Akaniambia kaeni hapa kwa mda while you are figuring things out! Nafasi hapa kubwa! Nikamwamvia hapana! Akainsist! Sio mda wa kukaa peke yangu! Na kwelisio mda wa kukaa peke yangu! Nitarukwa akili! After everything kweli naporwa bwana kizembe hivi? Nikawaza au Mungu kanilaani kwa kute!bea na waume za watu? Kumbe nap wake zao waliumia hivi hivi! Ila mimi ni Mozah sifi kirahisi!
Wanachofana huko marekani nikataka kukijua juu chini kati kati! Nikaenda kwa mganga anipigie tu ramli nijioneee! Huenda nayakuza tu! Nikafika mpaka kwa mganga nikawaza akili ikaniambia haya ni matumizi abaya ya ramli! Kusoma hujui hata picha huoniiii pia? Wako woteee liko wazi! Nikarudi na kuendelea kuumia moyo! Kmamae yule boyaaa nimekutana nae hana mbele wala nyuma!
Siku nikaamka na kuamua tu kuanzia leo siumiii tena! Yule mtu mzima kama kaamua kufanya vile kaamua! Wao wapate utamu mi nipate maumivu kivipi yani? Thubutuuuuu! Nikajiapiza sitolia, sitosononeka wala kuwapa chati! Wangese tu! Pooooh wataomba wao! Nikaenda saloon! Nikapendeza na kupanda madhabauni! Mchungaji alieachwa alishangaaa sana! Ila nilipanda! Nikahubiri vizuri sanaa! Na sadaka nikakusanya na kuichukua! Kama bwai basi bwai! Bwa kala bwa! This is my church and no body will tell me nothing!
Jioni nimejimiminia Amarula baridi! Nimekaa na Kyle! Akawa bado ananiashangaa ujasiri wangu! Nikamwambia na wewe acha kulegea legea kuwa jasiri! Ghost yule ukikaza kidogoo ndoa mnafunga! Habari hii inaelekea alikuwa anaitaka sanaaa! Akamimina Amarula! Akaniambia si ulisema niachane nae? Nikamwambia zaa nae! Mi ndo nakwambia! Na tena kawe mchungaji mkuu kanisani kwake! Akaniambia Mozah hio hasiraa ya mlokole!
Nikamwambia mtu akiwa nanhasira ndo anaongea ukweli sasa! Afu mimi sina hasira yoyote sahivi! Na masikitiko tu! Ghost anakupenda ila wewe ndo mshamba mshamba sanaa! Hujiongeziiii! Zaa nae! Akasema Mozah watoto wa 2? Nikamwambia mimi nina watoto wa 4 na naweza kuolewa tena nikakuacha umezubaaa hivo hivo! Falasi wewe!
Akauliza sasa nifanyaje dada Mozah! Na!sisitiza Zaa nae! Mzalie mtoto! Anasema ana mitoto mi 2 mi nataka anioe sio nimzalie kifala fala! Hapo msomaji kweli pagumi sio uongo! Nikamwambia ingekuwa zamani ningekupeleka kwa fundi wangu mmoja mkali wa hizi kazi! Anamlogaaa kisawa sawa anatulizwa na kuoa mwenyewe! Ila sasa tushaacha maisha hayooo!
Ila mimi naamini Ghost kumpata yule lazima ujitoe ufahamu na tukimchezea picha zuriiii lilioenda vidato anaingia kingi yule! Asichezena hivi vichwa viwili! Runa mmudu yule! Tuanze kumuandikia script tu yule falas! Tunamchezea lamujer de mi vidaa za hatariiii! Unamlisha nyama ya ulimi hachomoki! Mi ndo Mozah toto la kizigua! Mwingine photo copy!
Kwanza nijue mpojee mpaka sasa! Akasema tupo tupo mradi tupo! Nikasema hizi si dalili nzuri kabisaa! Maadamu mimi nipo hapa nalea hii familia kazi kwako ibakie moja tu kumteka yule bwana! Cha kufanya nenda kwake ghafla saa hizi! Msomaji hapo ilikuwa sa 6 usiku! Akasema yule hafungui mlango! Humjui! Nikamwambia asipofungua hutoki mangoni kama nalala na wanaume wenzie ndo tutajua! Akasema Mozah mi Ghost namuogopa! Nikamwa!bia unamuogopa ana ngata? Acha ufala! Nenda nenda! Akasita! Nikamwambia basi sikusaidiii tena! Kama huna ujasiri haina maana!
Aaoga akavaa! Namwambia vaa night dress tu! Unavaa jeana unaenda kufumania? Akavaa night dress na kanga! Mchaga mshamba mshamba sanaa huyu! Akaenda! Nikachungulia block list yangu nikakuta mlokole kapiga mara 20! Nikarudi kujiburudiaha na Amarula!
Ikapiga namba ya marekanj! Nikajua tu lile shangingi! Nikapokea! Halo! Halo! Bwana asifiwe! Nikamuuliza vwana yupi? Wa juu au huyu wa kwetu? Akase!a sio hivo mama mchungaji! Ndo maana nimekupigia mwenyewe! Nikamuuliza kunisimulia booo liivokukolea au? Anaanza so hivo navodhani! Nikamwa!bia listen wewe paka! Kama umeamua kunipora bwana nipore tu hadharani! Mimi mtoto wa magomeni! Usidhani unaweza kunipanga! Asilaniii jeuri hio huna! Huyo bwana nimekupa zawadi sina uhaba wa mabwana mimi upo nyonyo! Mkitoka huko mtangaze na ndoa kabisaa! Shwainiii! Nikakata simu! Na kui block hiinamba!
Nikaaanza kutengeneza kipindi cha you tube kuhusu Ndoa tukufu! Akiunganishacho Mungu binadamu asikitenganishe! Na jinsi gani moto wa wale wanaoingilia ndoa utakuwa mkali sanaaa! Nika upload you tube! In 5 minutes Mlokole akai delete ile video! Nikairudishia na kibadilosha pass word yetu ya you tube! Akawa hana access! Watulie sindano ziwaingie!
Saa 9 Kyle hajarudi! Nikajua mambo yalikwenda vizuriii! Nikaingia zangu kulala na mimi! Asubuhi nikaenda kuendesha ibada! Na nikatangaza kuanza program ya mafungo kupmbe ndoa! Na kuzitakasa ndoa zetu! Wasio na ndoa Mungu awafungulie milango wapate ndoa takatifu! Nikahakikisha inachukuliwa videokwenda you tube! Nikaita kama kuna mtu amewahi kute!bea na !ume wa mtu, au anate!bea na mume wa mtu abaki! Walibaki ma binti palena wama!a wa makamo aibu niliona mimi.
Nikawaza au mume wangu malaya malaya ni kwamba sijastukaa! Ukute ana vomada kama wote katika huu msururu! Nikawa nateta nao mmoja mmoja mpaka anitajie huyo mume wa mtu ni nani! Ndo namfanyoa maombi! Nikaja kujua ka isa limeozaa! Waume za watu wa mle mle kanisani! Hawapigi mbali!
Kuna binti mmoja mzuri mno mno akanitia shaka! Aligoma katu katu kunitania anate!bea na nani! Akase!a kama kutonitajia ni Mungu kutonisamehe basi potelea pote! Nikamuombea uongo na kweli ila mimi mtu mzima na akili zangu nikajia tu nae ibiwa ni mimi! Huyu mwingine ndugu msomaji! Acha wa marekani! Jamaniiii! Kilichonitoaha huyu binti ana sifa za kugawa tako kama hana akili zote!
Msomaji nilikiqa nipo njia panda! Nika upload ile ibada you tube! Jioni nikakita Kyle amerudi! Nikamuuliza vipi huko! Akase!a Mozah sokusokilizi tenaaa! Hufaiiii! Nikamuliza kama sifai umelaa na kushinda huko mchezo! Akasema acha kabisaaa shoga yangu! Nikamwambie nipe file hilo kamili! Akasema nimekwenda bar kwanza! Maana ana nyumba kama zote yule mpuuzi!
Nimefika club pale hayupo! Nikamtext uko wapi baby nimekumiass! Akase!a nipo kwa bi Tina! Nikamwambia nipo hapa ofisini kwako! Nakumbuka fumanizi! Akasema mi nishakuja huku huko sirudi tuonane kesho! Nikawaza kujiongeza kama wewe! Nikamtext nina nyege sanaaa njoo nitombe basi baby! Wanaume wa dar tena muombe pesa atakujibu kesho kutwa usiku mwambie nimechukua chumba njoo ukojoe atagongwa na mwendo kasi umgawe pasu kwa pasu haraka za kuwahi!
Akanivideo call! Namwambia mimi nimekija night dress hapa! Chupi yenyewe ishalowa sasa hio kesho kivipi? Analalamika huku mbali sana! Na mtext wewe ndo bwama wangu sina bwana mwingine sasa kama hii kazi inakishinda basi tenaaa! Akasema nakuja!
Kuja bwana yule hamna rangi sijaacha iona! Kaniinamisha kwenye lile desk, kanibingiluaaa! Kanikunjaaa! Hapa navo kwambia papa yote inawaka moto! Nimekomaaaa kukisikiliza! Wewe ume relax tu huku mimi naoneshwa cha mtema kuni! Heheheeheheeeeee! Tukachekaaaa!
Afu wazo lako la kumzalia kama limeniingia! Maana nimetamani kama nipate mimba yake! Mozah unaniharibu akili! Ila nataka nimzalie kama penalty tu! Sio lwa kupanga iwe imetokea tu! Nikamwa!bia tu okay! Akaenda kulala akaacha simu yake juu!
Nikachukua simu haina passoword! Nikaanza ku mtext Ghost! Baby jana nime enjoy sanaa! Unajua kufanya sanaaa! Haki umenimaliza akili zote! Akatuma vi emojiii! Niamuandikia Nataka tena na leo! Akajibu we mwanamke utaniuaaa! Show yote ya jana ile na leo tena? Au unanikomoa? Nikamtext! Nimenogewaaa! Nataka kila siku! Uwe wangu peke yangu tufanyane kila siku kila saa! Akatuma kiemoji!
Nikaongeza gia! Baby nina ombi kwako! Akauliza ombi gani? Nikamtia kwanza ndimu! Au basi mimi naona aibu kukwambia mwenzio! Akauliza unataka pesa? Nikasema hapana baby! Unataka nini? Nikamwambia promise kwamba hutakasirika! Akase!a sitakasirika unaomba nini malkia wangu!
Nikaa dakika kumi! Akauliza tena! Unaomba nini? Nikamwambia naomba nikuzalie baby! Just nataka kukupa zawadi ya mtoto! Akajibu you already know na watoto wa 2 na nawapenda kuliko unavodhaniaa! Kyle nakujua ni mtata na hiki unachoomba itakuwa complex situation me you and my other baby mamas! Nikastukaaa! Kumbe Ghost ana watoto tena mama tofauti! Damn! Mbona kama nimebugiiii! Ila hakishindikani kitu!
Nikampanga! Kwani huyu mtoto ni wa kwangu nakupa zawadi wewe! Mimi mama mtu ndo nashuhulikia kila kitu, na namlea mimi kama huyu Linda! Ni mapenzi yangu tu kwako baby! Nimekuelewa sanaa! Na ku feel sana! Ndo maana nimeamua kuazaa na wewe dear kuacha kumbu kumbu ya penzi letu! Sio kwamba nataka unioe au vipi! Walaaa!
Ikaingia video call Ghost anapiga! Nikamkurupusha Kyle! Akastuka kuna nini! Nikamwambia bwanaaa nimekusaidia kumpanga panga Ghost kwa chat hapo sasa anapiga videocall! Zisome kwanza afu uingie in character! Uendelee kumpanga kwa video!
Akasoma! Akastukaa haaaaaa! Mozah! Mtumeee! Ghost akawa anapiga tena! Akapokea! Mi niko karibu asije kuharibu! Ghost anamuuliza upo serious! Akauliza kuhusunini baby? Akamwambia mtoto! Akajibu Yeah! Nmkonyeza be more convising! Akasema si unajua Linda amekua mkubwa! Mimi pia umri unaenda! Yeah i think its the right time!
Kyle akaendelea, ila kama you re not comfortable pia its okay! Nitatafuta mtu mwingine wa kunisaidia! Naweza hata kumuomba Hans mbegu! Jamaniii jamaniii mchaga huyuuu! Nikajishika kichwaaa! Ghost akase!a sawa muombe Hans itakuwa vizuri zaidi! Watoto watakuwawa baba mmoja! Akakata simu!
Nikamwambia tu shosti nipe hio simu! Ushatibuaaa! Nikaanza kujiombesha msamaha! Baby i am sorry i was so concerned utakataaa roho ingeniumaa ndo maana nikasem vile! I am sorry! Hakujibu! Kyle anase!a akikujibu naenda kuolewa na mlokole mk wa 3! Hehehehee! Tukacheka!
Hakuna mkate mgumu mbele za chai! Namuuliza umenisamehe baby? Kimyaaa! Mimi nipo online, Ghost yupo online, Kyle yupo online na Kiburi nacho kipo online! Patamu hapo! Ila mimi Mozah ndo kiboko yao wote! Nikamtext baby elewa nakupenda sanaaa! Sanaaa! Maybe i dont know how to love you the right way, nakuboa, naongea vitu sivo ila jua tu im already so deepin love with you! Sijiwezi! Kama utaniona mjinga poa tu! But i cant help it any more! Sijaliiii hivooo yani! Nikamsomea Kyle na kumuuliza hapo vipi? Akasema tawireeee mama tawireee! Nika send!
Akapiga simu! Nikampa! Na kumfanyia nisha chinja we malizaaa! Akapokea! Anasema bahati yako! Nilikuwa nakublock! Akasema mmmh! Akauliza mmh nini? Kyle akasema mi naogopa kuongea naweza kuteleza ulimi nikawa blocked! Sahivi mimi mjinga,mimi si ndo nimependa baba, nifanue utakavyo! Akasema njoo basi club! Akasema poa! Akaniambia Mozah kweli wewe ndo kiboko ya Ghostna wanaume wote! Na hushindwikupata mume na watoto wa 4 nimekuvuli kofia! Nikamwambi wewe nenda kafanywe bwana! Na usiropoke ujinga!
Mlokole akarudi akakuta sipo! Kujua nilipo alijua! Akaita kikao cha familia! Nikaenda nikamsikiliza anaongea uongo weee, simu ikaita nikajifanya naenda nje kupokea! Washa gari nikawaacha wadanganyane! Sipendagi ujinga!
Akaita kingine sikwenda! Tunakutana kanisa i na mchunoo! Akinise!esha sijibu! Yule dada akaacha kuja! Ligi na vita nilivoanzisha vidogo sasa? Watu wakaanza kujua kuna mpasuko mkubwa wa ndoa hii!
Ikawa birthday ya ghost! Nikamwa!bia Kyle sasa hapa ndo pakupatia point! Tunamfanyia birthday surpriae pale club!na wewe ndo unajitambulisha official wake! Maza club! Akase!a sidhani kama ni wazo zuri! Nikamwambia ni wazp zuri! Kuwa jasiri!
Siku ya birthday ikafika! Tumeeandaa kila kiti kwa kushirikiana na wafanyakazi! Na tulijua kupitia mjeda! Hamna anejua birthday ya Ghost! Kyle katoa pesa yake ya mapambo, keki, vinywaji kalipia, Mpka gharama ya ku book VIP! kila kitu! Kapendezaa! Kawaambia wampigie kuna tatizo! Aje club! Wakampigia!
Kuja kakuta kupokimyaa VIP, akawa mdogo,anauliza huku mbona giza! Wanamwambia boss taa zimeungua zote! Akapanda kuingia! Tukawasha taaa! HAPPYBITHDAY TO YOU! tukamwimbiaaa! Alistukaa! Kwanza alishangaa tumejuajae birthday yake? Alistukaaa! Baadae akafurahi!
Kasheshe kumbe kaja na Ulfat na yuko na watoto wa 3! Wale wa wawili kwa muonekano ni wa Ghost! Huyo mmoja sababu ni mzungu pure atakiwa wa Ulfat! Nilivoona vile nikamwa!bia Kyle tuondoke disco limeingia mmasai! Akasema hapanaaa Mozah! Roho inaniuma sanaaa! Nikamwambia twende tu! Hapo Ulfat yeye ndo yeye tena! Li Ulfat lizuriiii ndugu msomaji! Mwenyewe nikiwa kama kungwi wa Kyle nilimhurumia! Pale anashindana na upepo! Mitoto ya Ghost mizurijeeee? Mi shombe shombe! Kungwi nilijiona nimeachwa uchiii wa mnyama! Ila family picture ili damshiii sio kitoto!
Nikambembeleza Kyle tuondoke! Akakubali! Kwenye gari aliliaaa! Mwenyewe nilidondosha chozi mbili tatu kwa niaba yake! Nikaanza kumpanga! Akaniambia kama mitaal mizuri rudi kwa mlokole! Nikamwambia mimi mume wangu akija kutubu akasema ukweli kwamba nilimtomba yule bibie marekani na kale kagawa tako namsmehe ila sio vinginevo!
Baada ya siku 2 mlokole akaja akasema vile vile tulivoongea na kyle nikajua tu shoga angu kaniuzaaa bei ya mafungu tena ya jioni! Niliumia sanaaa! Nikarudi kwangu nikapanga mlokole kupewa papa labda mwakani! Tena labda! Huenda ikawa hata baada ya miaka mi 2 au mi 3!
Nikamtumia Kyle meseji sijapenda shoga angu ulivpniuza bei ya mafungu kwa mlokole! U anionea bure! Mimi sio niliemleta Ulfat ukumbini! Hujanitendea haki! Akajibu! Kwelini nimekuuza bei ya jumla! Nimeshindwa kuvumilia umepata mtu anaekupenda na kukujali and you want to throw away all that for what? Yes maybe katembea nje kidogo so what? Nani utampata hatembei nje? Mwanaume gani? I am a good friend Mozah siwezi kiacha ufanye makosa tena!
ITAENDELEA