Wimbo gani wa hillsong united unaupenda sana?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Kwa Dunia ukizungumza ulimwengu wa mziki wa gospel hillsong united wako juu sna hawana mpinzani katika mziki wa gospel. nyimbo yao mtu yoyote anaskiiza atheists, muslims na Christians nyimbo zao sio kama mapambio za wapiga kelele waimbaji kwaya wa kiswahili. Wewe ni nyimbo gani ya hillsong united unaipenda sana?

Top 3 yangu mimi

1. So will i
2. Wonder
3. Not today

Me nawapenda zaidi hillsongs young and free hawa wana balaaa
1.This is living now
2,Energy
3.pursue
4 Youth revival (live) ....hii ni album
 
Touch the sky
Hosana
Amazing grace
Lead me to the cross
hatari sana

Halafu wenzetu hawacomplicate ishu ya mavazi eti avae suti aaaagh!

Ingekuwa huku kwetu wangeitwa wahuni na wangepewa Kila aina ya jina baya kisa mavazi
 
Kwa Dunia ukizungumza ulimwengu wa mziki wa gospel hillsong united wako juu sna hawana mpinzani katika mziki wa gospel. nyimbo yao mtu yoyote anaskiiza atheists, muslims na Christians nyimbo zao sio kama mapambio za wapiga kelele waimbaji kwaya wa kiswahili. Wewe ni nyimbo gani ya hillsong united unaipenda sana?

Top 3 yangu mimi

1. So will i
2. Wonder
3. Not today

Naipenda sana iyo nyimbo yao ya "So will I"

Jesus culture, planet shakers nao wanaimba vizuri hata "live concerts" zao ni kama hillsong
 
Hillsong wako vizuri lakini binafsi Maranatha Singers na zile Praise series zao wananibariki sana.
 
even when it hurts, man of sorrow, broken vessels, as it is heaven, stronger and stronger, Kwa kweli nazipenda Sana.
 
na ni hatari kwa afya ya mwili haswa ukiwa na msongo wa mawazo
Mara ya kwanza kuuona nilikua sina hili wala lile ikabidi ni ushazam ukanmzingua basi nikatype chorus yake google ukaja ila hillsong wapo vizuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom