Recent content by jsonjuly

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mpapai na Gunzi vina uhusiano gani?

    Stress za mmea (papai) pindi limefungwa na hilo bunzi ndio inapelekea kubadilika kwa jinsia ya huo mpapai. Mara nyingi hutokea hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Meena Ally

    Mimi napenda anavyoongea jamani, sichoki kumsikiliza.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Niliacha chuo ili nifanye biashara, sasa mtaji umekatika sijui nifanye nini?

    Usirudi chuo, usirudi chuo na usirudi chuo Hukua na wazo baya ila ulikua na mategemeo mabaya, kwahiyo we jitathmini upya uanze kazi, usirudi chuo.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    upo dar sehemu gani nikusaidie mwana SUASO mwenzangu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa ile sayari ya NIBIRU au PLANET X ambayo inaielekea kugonga dunia kwa kasi ya ajabu

    dunia imeshagongwa na ile sayari sidhani kama utapata wa kukujibu
  6. J

    JamiiForums Tanzania TIGO uku ni kutesana sasa!!!!

    kabla ya saizi yako kuja, ulikua watumia menyu gani?
  7. J

    JamiiForums Tanzania TIGO uku ni kutesana sasa!!!!

    mkuu naomba menyu yako ya mwanzo nianze kuitumia na waweze nipa saizi yangu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu nani huko macho, karibu tuchat chat

    haya mwaga sera sasa humuhumu, no PM
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu nani huko macho, karibu tuchat chat

    nenda PM umeitwa
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu nani huko macho, karibu tuchat chat

    ndio mwanzo wa usingizi hapo
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu nani huko macho, karibu tuchat chat

    chukua kitabu usome, 100% lazima usingiz uje
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu nani huko macho, karibu tuchat chat

    mbona hulali tatizo nn?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jamaa kalipa dola 300 ili ajifunze forex business

    unfortunately sina dada, njoo u*lewe labda (kidding)
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jamaa kalipa dola 300 ili ajifunze forex business

    mbona hatutoendelea kwa namna hii, i did ask you a question, i kindly need your answer mkuu.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jamaa kalipa dola 300 ili ajifunze forex business

    mkuu unajishughulisha na kitu gani ili mkono uende kinywani??
Back
Top Bottom