*147*00# saiz yakoHiii unaipataje mkuuu?
mkuu naomba menyu yako ya mwanzo nianze kuitumia na waweze nipa saizi yangu
kabla ya saizi yako kuja, ulikua watumia menyu gani?Me naingia hapa mkuu *147*00# saiz yako
Bora wewe, me wananipa hivyo yaani kwa siku tatu!View attachment 1132809
Hio yako umepewa hivyo kutokana na aina ya matumizi unayoyafanya maana mbona mimi yangu ipo kawaida tu ni 2500 kama nilivyoambatanisha hapa ila tatizo ni moja network ipo slow sana sinawahi kuona
Wewe utakuwa ni mwanafunzi wakaona wakupe saizi yako.
Nakumbukua enzi zangu za shule nilikuwa nalala saa 8 hadi saa 9 usiku.
kabla ya saizi yako kuja, ulikua watumia menyu gani?
Basi wasiliane na huduma kwa wateja au ile namba yao ya watsap. Wanaweza kukusaidia.Shule nimemaliza kitambo sana mkuu saivi nina mishe zangu tu uku Town, sema tigo wameamua kutufanya wote tuwe walinzi.
So wakuachie dakika za ku longa na bimdashiNtawaibukia tu mkuu ili tuelewane vzr kama vipi watoe hiyo gb yao ya usiku
[emoji23][emoji23][emoji23]So wakuachie dakika za ku longa na bimdashi
Ndio mkeshe.
Nipe namba yako angalau niwe nakupigia pigia ili waone iko busy kimtindo.Yaani tigo nnayo kwa kua tu nisipoteze watuuu!!!ila anaweza kua hata miezi sijaweka salio
Hahahaha, kesheni ,maana muda huo wengine huko waliko ni mchana au mna jiangalia nyie tu wa Tz ?Yaani tigo nnayo kwa kua tu nisipoteze watuuu!!!ila anaweza kua hata miezi sijaweka salio
Yaani tigo nnayo kwa kua tu nisipoteze watuuu!!!ila anaweza kua hata miezi sijaweka salio
Mie huu mtandao umenikalia kushoto kweli, nishasajili line kama mara 3 mwisho zinafungiwa tu hata situmii[emoji134]
Hahahaha, kesheni ,maana muda huo wengine huko waliko ni mchana au mna jiangalia nyie tu wa Tz ?
au km vipi download series na movies ,na ma documents ,mchana una soma na kuangalia tu