Recent content by JRengineer

  1. J

    JamiiForums Tanzania Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali…

    Sawa mkuu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Be blessed, nakianza sahivi hadi kesho muda kama huu naamini nitakuwa nimeshapata kitu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu mimi naomba kuanza na hao 300, kama watakuwa wamesha fikia nipo tayari kuwa wa kwanza kuanza kulipa hiyo garama ya mafunzo ila ili mradi niwe kwenye group la kwanza la hii elimu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: MwanaJF aliyeomba mtaji

    Huyo mtu ni mpuuzi wa kwanza, hata hiyo elimu yake aliyodai kaipata chuo haijamsaidia kabisa, watu kama hawa hawaitajiki kabisa, ni bora kumsaidia mtu ambaye kashaanza biashara akakwama kuliko kumsaidia mtu anae start from zero, labda kama unamfaham na ni rahisi kumfuatilia
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

    Ndo ujifunze kuwa msafi, mana ungekuwa msafi usingeona kinyaaa, mwanamke ni usafi na siyo rangi wala uzuri wako
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme tukutane hapa

    Gain ni ngapi? Tumia ß=Vo/Vin
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme tukutane hapa

    Wewe kwani unaiona hiyo ni nini?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sirro: Jambazi aliyevamia gari ya fedha Kurasini, alikufa akisema Allah U Akbar

    Au baba ana majina mawili?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sirro: Jambazi aliyevamia gari ya fedha Kurasini, alikufa akisema Allah U Akbar

    Mbona kaburi nimeandikwa mussa salumu? ?????????
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mama Salma, Ally Kessy wapinga wanafunzi waliopata mimba kurudishwa shuleni, wasema dini haziruhusu

    Ni kwamba ndo hakuna kusoma milele au kwa kipindi cha mda fulani watatakiwa kuacha masomo na kurudi tena?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Javascript For Beginner In Swahili

    Me nangoja kupakuwa mana hii kitu inanisumbua sana
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Ila kwa sisi wanaumbe ambao hatuujui ila huwa tunahisi tu kuwa wanapitia kipindi kigumu lazima tuwapishe
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Labda wanajua kiwango cha uchovu wa mjamzito siyo mzito sana, mana na wao wamepitia
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Vita yako dhidi ya wanyonge inaweza kuigharimu nafasi yako ya urais mwaka 2020

    Na bado ka2nyima mkopo wanafunzi wengi sana, yani 2nasoma kwa shida sana
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wahuni wa Ghana walivyoiliza Idara ya Ulinzi ya Marekani kwa zaidi ya miaka 10

    Da, kweli penye nia pana njia
Back
Top Bottom