Rais Magufuli Vita yako dhidi ya wanyonge inaweza kuigharimu nafasi yako ya urais mwaka 2020

Habari kwenu wana JF

Kwa muda mrefu Raisi wetu mpendwa amekuwa akijimbanua kama mtetezi wa wanyonge na Yale ayafanyayo anayafanya kwa faida ya wanyonge watanzania.ki ukweli kundi hili ndilo kundi kubwa kuliko makundi mengine hapa kwetu Tanzania.kwa muda mrefu nimechunguza haya mapambano ya mh rais na nimejiridhisha kuwa kwa sehemu kubwa ni mapambano dhidi ya wanyonge na hayalengi kuwasaidia au mambano yenyewe yanaishia kuwa athiri wanyonge.mathalani.

1.Mapambano dhidi ya waingizaji wa sukari yaliishia na kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo hali ambayo ilituathiri wanyonge.

2.Hivi majuzi TCU wametoa majina ya wanafunzi 8,000 na zaidi wasio na sifa ya udahili ikumbukwe tu kwamba TCU ndilo waliwadahili na kuwapangia vyuo vya kusoma huku wakijua wanafunzi husika hawana sifa za kujiunga na vyuo vikuu raisi amebaliki maamuzi haya kwa kuwa yupo kimya mpaka sasa.sisemi atetee wanafunzi wasio na sifa la hasha ninachosema ni kwamba waliowatia hasara wazazi wa wanafunzi hawa wakalipa ada miaka mitatu badala ya kununua mbolea bado wapo pale TCU na raisi hana mpango wa kuwagusa kwa kuwa ni wateule wake.hao watu elfu name ni kura untakazo zikosa 2020 kwa kuwa wanafunzi hao hawakujipeleka vyuoni Bali walidahiliwa na wateule wako.

3.kupanda kwa makato ya HESLB pamoja na manyanyaso amvayo wateule wako wanawafania watumishi wa umma. kwenye ongezeko hapo napo umekaa kimya kama huoni labda nikukumvushe mh raisi sehemu kubw ya hao watumishi wanalipa PAYE 30%HESLB15% Hifadhi ya jamii 5%-10% bima ya afya 5% vyama vya wafanyakazi 5%-10% ukijumlisha more than 65% ya mshahara wa mtumishi mnabaki nayo anachokipata ni kidogo sana ukilinganisha na hali ya maisha ya mtanzania bado kuna wateule wako wamethubutu mpaka kuwapigisha deki walimu wakuu kuweka rumande watumishi n.k yote hayo yanakupunguzia idadi ya kura 2020.

4.Tatizo la ajira ni wewe ujuaye kitu ulicho kifanya lakini nakukumbusha tu hili nalo ni kundi lingine la wanyonfe amvalo kwa dhati kabisa umekusudia likunyime kura kwenye ychaguzi ujao. serikali na vyombo vyake vyote ni kweli hamjakamilisha uhakiki wa watumishi hewa? au umejiamulia kuwatenda hivo hao wanyonge unaowatetea.

5.Upungufu wa chakula kwa baadhi ya maeneo naona hauko serious kabisa umediliki kuwaambia ukweli wanyonge kwamva serikali haina shamba huwezi kuwapikia n.k nikukumvushe tu ni hero kukaa kimya kuliko kuwakasilisha wapiga kura wako ni kweli serikali haina shamba lakini njaa ni mbaya Huyo usema kwel utakugharimy huko mbele ya safari

6.wahanga wa tetemeko.hapa wachangiaji wantakuwa na mengi ya kukulaumu muhimu kumbuka ni kura ngapi zinapotea

7.Bomoa bomoa sehemu kuna watu wanakulilia hapa Luna sehemu mahakama ilitoa amri ya kuvunja nyumbani 5 wavunjaji wakavunja 500 na zaidi na wewe mtetezi wetu upon kimya

Inafaa kukumbuka Rais aliyekutangulia aliingia madarakani mwaja 2005 akiwa na kura asilimia 81% ya kura zote baada ya utendaji wake wa miaka mitano kutowaridhisha wengi mwaka 2010 aluporomoka mpaka kupata kura sawa na aslimi 61% were umeingia na asilimi 57% na we wakwaza wanyonge anguko la asilimia kum tu litatosha kukuita rais mstaafu ni vyema ubadili mbinu ya mapambano bado una nafasi ya kufanya hivo.
 
Sisi hatutegemei kura zenu za makaratasi. Ila kwa kuwa manung'uniko yamekuwa mengi ikifika mwaka kesho tutalegeza kidogo! Endeleeni kuchapa kazi tuijenge nchi yetu.
 
utawala wa mwaka mmoja hauwezo kusolve matatizo yote hayo! tutamjadili vizuri 2020..
 
Africa uchaguzi ni geresha tu.

Katika Mipango ambayo waafrica wanaweza ni idara ya uchaguzi tu. Nilikoma Waangalizi wa kimataifa walisema Uchaguzi safi lakini wasimamizi wakaufuta
 
Mi nilikuwa nampenda sana lkni yupo biased. Ukaguzi wa vyeti hujawai kuisha na watumishi hewa. Mishahara watumishi wa umma haikuongezeka.
yan hili ni balaa...ajira hujatoa hata kuongeza mshahara hao waliopo unashindwaa.....eeeh
 
Katika yoote mi naona Mtu wa hali ya chini ndie an azidi kuumia !!!! Kweli twaisoma numba
Tajiri anaadhirika kidogo tu ku-adjust lifestyle yake,kama alikuwa anatumia laki kwa siku anatumia 50,lakini masikini ndio balaa mpaka watoto wanakosa ada
 
Wapiga dili lazima muone Tanzania Chungu hebu nendeni Commoro mkajaribu maisha.
Tatizo umeangalia kundi la watu wachache sana katika jamii, halafu kwa namna moja au nyingine inaonesha dhahiri kabisa kwamba watu wa hulka au kariba yako ni wabinafsi..ukishiba wewe huwa hukumbuki wenye njaa! Jaribu kubadilika mkuu maana si kila kitu ni cha kupinga tu! Ukiwa na hekima utanielewa period!
 
Jamani tusubiri mwaka 2020 maumivu yetu tuyamalizie kwenye box la kura. Tuliambiwa ajira zimesitishwa sababu ya uhakiki, likaja suala la NIDA hadi leo kimya. Vijana wanalia kila mahali cha ajabu wenye nchi wanazidi kunga'aa tu, sisi watumishi ambao hatujapandishiwa madaraja ndio kwanza tumeongezewa zigo la HESLB mungu atatuvusha katika haya machungu tu.
 
ma
tuna polisi, tuna jeshi, wakurugenzi wa halmashauri wote ni makada watiifu wa chama halafu tushindwe uchaguzi? you are not serious
wazo la kipuuzi tu.kwenye nchi inayo amini katika demokrasia hao watu uliowataja hawana maana.mbona obama hakutumia wakurugenzi na vyombo vyake vya dola kumsaidia Hilary clinton wa chama chake?ni kwa sababu obama anaamini katika democrasia.
 
Back
Top Bottom