Recent content by jr etlawe

  1. jr etlawe

    Kama Unafanyakazi Za Shift Bora Usioe Kabisaa

    Yaan we jamaa,,,,,ukae tena ufikirie kama umeona huo ushauri unaotufaa,,,,tena watu wengi wenye shift hizo wake ZAO ni very faithful trustful,,,,,, jaribu tenaaaa
  2. jr etlawe

    Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Don't do things in popular way,,,,,kukuunga mkono haimaanishi ndo uko sahihi,,,,,,
  3. jr etlawe

    Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Usitumie experience yako,,,,kuamua maisha ya watu,,,laana haiji kwa sababu una miaka 25+ kwan wangapi wapo under 25. Na milaana kibao,,,,,wangap 25+ na soft life??? Toaga mada za msingi uleete hisia zako hapa
  4. jr etlawe

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Naomba mniambie anatumia fungu gani katika biblia lililompa kufanya hivyo,,,,,, Hatuwezi kumfanya .MUNGU kuwa mpiga dili kwa akili za kipumbavu hivyo,,,,,, tangu lini maombi yamenunuliwa kwa gharam hivyo???. Mjueni MUNGU wa kweli,,, Mungu anamsikiliza kila mtu hakuna haja ya kwenda kwa mtu...
  5. jr etlawe

    Najiuliza sana maswali haya kuhusu Mungu

    Unapojiuliza ndugu tafuta chanzo cha Taarfa kwanza,, ,, mtoto kuzaliwa katika dhiki au raha ni matokeo ya mazingira ya mahusiano ya wazazi na Mungu kwamba Mungu anaweza kulaani uzao,,,, lkn pia mwanzon tulikuwa kwenye mazingira mazuri na tulipewa jukumu la kutunza bustani ya edeni...
  6. jr etlawe

    Sitokuja kuacha kujichua sababu nilitendwa sana

    Nmejifunz kitu jf,,,,thread nyingi, ni za kutunga,,,,na kutaka kujua uelewa wa watu,, ,lkn ndugu yangu,,,,ungejua madhara ya kujichua ni kudumu kwako,,,usingekubali na kuwa tyr kufanya hvyo,,,Jitunze afya yako, be a gentleman,,, you are not born for women,,,,but woman for you,,,take care...
  7. jr etlawe

    Jamani mnasemaje kuhusu hili

    Mchezo huo hauhitaji hasira kuwa mpole,,,let her leave,,,,anakuwa waster kwako,,,atakuj kuwa toxic kwako,,,,ukingangania utajiua bure,,,,LET HER LEAVE,,,,,
  8. jr etlawe

    Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Dunia nzim hakuna mwenye mkataba wa urafiki na kifo,,,,wewe umeamkaia kona gani kuja kutudanganya sisi wanajf,,,,,Huogpi kufa,,,,tukuzike ulivyo ndo utajua
  9. jr etlawe

    Ushauri: Aliniambia ana msichana wake, nikaridhia, sasa kanipa ujauzito

    Tujitahidi kuwaelewa watu na kuwapa ushauri ambao hautampeleka pabaya,,,,,kuliko kushabikia kwa maneno ya kebehi na matusi,,,,,take care
  10. jr etlawe

    Jinsi ya kumteka Beki tatu mpya

    Kam hadi Leo kwa tz hii,,,tunaelimishana mambo km hayo,,,kuna hatr kwamba hatutafika huko tuendakooo
  11. jr etlawe

    Mambo yanayopatikana Tanzania tu!

    Jk1 kufahamu vijij vyote vya tz,,,na jk2 kufahamu nchi zote za ulimwengu,,,,
  12. jr etlawe

    Kwa wale ambao hawajabahatika kumuona shetani!

    Devil is spirit,, you can't see him by naked eye,,,,may be their agents,,,,hakuna ukweli wowot ambao umewahi kuprove kuwa ana jicho .mmoja,,,,, cjui mweusi,,ana sura mbaya,,,,hzo ni assumption tu,,,,Even the Bible says,,MAANA SI AJABU KWA KUWA SHETANI MWENYEWE HUJIGEUZA KUWA MALAIKA WA...
  13. jr etlawe

    Uhusiano wa usiku na kifo

    Muda wote Mungu anatawala,,, usiku nguvu za Giza huwa zinafanya kazi Sana'a,,,,lkn kifo hakihusian unless kuna mazingira ya nguvu za Giza,,,,wagonjwa hufa usiku kwa sababu body system zimetulia,,,normal rate and routine of blood supply inakuwa dogo,,, if no blood supply no Life,,,,
  14. jr etlawe

    Mambo yanayopatikana Tanzania tu!

    Twiga kupitishwa uwanja wa ndeg bila kuonekan lkn bangi zinaonekan -mgonjwa wa kichwa kupasuliwa mguu,, -naibu Spika kuingia bungeni na wabunge kutoka -aliyeshindwa uchaguz mkuu kuwa kiongozi @ nmeongeza chache tu
  15. jr etlawe

    Eti kama haukuwa kati ya shule hizi, we ni kilaza ?

    Mkuu unakosea Sana'a,,,, hufai hata balozi kam unajivunia xul adi Leo,,,, wangap wametoka huko na hawana direction za maisha,,,, wako tuliokuwa nao shule zetu za Kata,,, na Leo wako wanakula gud Tyme,, take care my friend
Back
Top Bottom