Mambo yanayopatikana Tanzania tu!

Peculiar

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
821
689
•Mtu kuanza kuvua nguo kabla hajafika chooni.

•Watangazaji kuwa namba za jazi mgongo. Mfano: Maulid kitenge jezi nambari 9 mgongoni.

Au nadanganya wakuu??
Kama nadanganya sema wewe ukweli!
Kama ni kweli ongeza jambo unalohisi litakua lafanyika hapa bongo tu!

Karibu
 
Twiga kupitishwa uwanja wa ndeg bila kuonekan lkn bangi zinaonekan
-mgonjwa wa kichwa kupasuliwa mguu,,
-naibu Spika kuingia bungeni na wabunge kutoka
-aliyeshindwa uchaguz mkuu kuwa kiongozi
@ nmeongeza chache tu
 
Mhujumu kuruhusiwa kugombe urahisi. Raisi wake aliyetembelea karibu dunia nzima kwa kipindi kifupi cha miaka 10.
 
Iv kesi ya Masamaki wa Tra mwenye Nyumba 73 ni lini inasikilizwa na Wenzake.
 
Mwenyekiti wa chama kupatikana kwa ndiyooooo bira kura........badaye naongeza nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom