Jamani mnasemaje kuhusu hili

Mchezo huo hauhitaji hasira kuwa mpole,,,let her leave,,,,anakuwa waster kwako,,,atakuj kuwa toxic kwako,,,,ukingangania utajiua bure,,,,LET HER LEAVE,,,,,
 
Alikuwa ananipigia simu kila siku, tulikuwa tunachati 24 hrs... Nikimpigia tunaongea full romantic.. Lakini sasa ghafla nashangaa komunikesheni inazidi kudrop... Nikimkolu anadai hana vya kutolku, nikimtext anajibu shotikati, nikiomba mechi vikwazo zaidi ya milioni .. niki mchana anadai ananipenda.. SIELEWI HAPA jamani
Tayari hiyo ni RED CARD,kuna lijamaa limeishapendwa kuliko wewe,achana nae kabla hajakutamkia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom