Recent content by Jozee M

  1. J

    Magufuli, watanzania wana shida zaidi ya hapo!

    UMETUMWA NA MAFISADI ILI UMCHAFUE MKUU WA NCHI,ACHA RAISI WA WANYONGE AFANYE KAZI TULIYOITAMANIA TOKA MIAKA MINGI,OK WAONA NI SAHIHI KUENDELEA KUWA NA WATUMISHI HEWA?JE WAFANYABIASHARA WASIOLIPA KODI?WANAOFICHA SUKARI HATA BIBI YAKO ANASHINDWA PATA KIFUNGUA KINYWA ASUBUHI,MTASEMA MENGI SANA JUU...
  2. J

    Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Ahsante presidaaaaa viva DR MAGUFULI
  3. J

    Sisi wanywa Bia hatulalamiki, lakini nyie sukari imepanda kidogo mnapiga kelele

    Aaaah na watoto wako wanakunywa bia wakiamka asubuhi?think critically
  4. J

    Rais Magufuli bado hajatofautisha kauli za kampeni na kauli kama Mkuu wa Nchi

    Magufuli mbele kwa mbele mlizoea vya kunyonga sasa vya kuchinja mnaona kama haramu sisi wanyonge mlituonea sana nani kakwambia soko huria watu wafiche mali ndani ili wajilimbikizie faida hiyo si ni monopoly by hiding MAGUFULI PIGA KAZI SIE TWAKUSAPOTI
  5. J

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Acha jamaa afaidi mama anatumia nae ya mkwewe wewe baya lipi?
  6. J

    Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Je mtu utaishije kwa bila mshahara inamaana tipu ji nyingi kuliko salary
  7. J

    Vodacom internet yenu mbona spidi mmepunguza sana?

    Majibu yoooote ni sahihi ila hawa nao walikuwa hawalipi kodi so wanaongeza muda wa kudownload ili utumie pesa iiishe na waweze kwenda na kasi ya hapa kazi pamoja na kulipa kodi stahiki kwa serikali
  8. J

    Sukari toka Nje: Mary Nagu ahojiwa na PCCB kwa kwenda kinyume na Magufuli

    Yaaani hilo ni jipu tayari limevuta pesa kwa wafanyabiashara ss linatushawishi tuagize sukari please please Dr Magufuli tunaomba sana sie walala hoi tumbua hilo lijipu sie tunakuunga mkono mh raisi kwa juhudi unazofanya waleta heshma ya nchi tumbuaaaaaaaaaa
  9. J

    Kwa wataalamu wa magari: Ana kiasi cha TZS 8.5 hadi 10 M, anaomba ushauri aagize gari ya aina gani?

    CHUKUA RANGE ROVER/VOGUE IPO JUU INAFIKA POPOTE UENDAPO GHARAMA NAFUU SANA UNAIMUDU HATA UKIWA NI SECRETARE MIE NDIO NAONA ITAKUFAA NA BAJETI ULIYOPANGA
  10. J

    VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Viva Magufuli kama wao haki za binaadamu wanayajua hayo watuelese pesa ambazo Kabwe ameliibia taifa letu si zilipaswa kupelekwa sehemu kama mahospitalini shule ba sehemu nyingine ambazo ni nyeti zaidi,sasa wao wanataka mwizi afikuzwe kimya kimya haiwezekani kabsaaa MAGUFULI SIE WANYONGE...
  11. J

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar, Wilson Kabwe. Makonda amtuhumu kuongeza mkataba wa maegesho bila mchakato

    Ahsante Raisi wa wanyonge,ila ni ombi kwako kwa mtu kama huyu anaye iba pesa za uma sio tu kumtumbua jipu ila nae apewe adhabu kali sana ikiwemo kunyongwa sb yeye katutesa sana sie walala hoi VIVA RAISI WETU MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UKITAKA TUKUONGEZEE MUDA WA ZAIDI TUPO TAYARI
  12. J

    Hatari ya Rais kuangushwa kwa maslahi ya mafisadi

    Raisi JPM atawanyoooosha tu sisi wananchi tunampenda na daima yeye mbele sie nyuma yake na nchi yetu itapiga hatua na mifumo ovu yooooote huu ndio mwarobaini wake
  13. J

    Rais Magufuli: Ningejua kama Urais ndio hivi, nisingegombea

    Our president atapiga mzigo tu hata mkiweka vijimaneno vyenu
  14. J

    CRDB BANK na saa za kazi Kisheria

    Lakini wao waliandika ktk barua ya ajira iam able to work in challanging environment so why are you complaining mwisho ulisema Your faithfully Mtoa uzi
Back
Top Bottom