Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Hiii nchi raha sana yani, bei ya sukari kg 1 imefika Tsh 2500 basi kila mtu analia, wakati hio sukari kilo unaweza kutumia zaidi ya wiki 1.
Ila sisi walevi bia moja imeshafika Tsh 2500 tumetulia tu tunaendelea kunywa na hio bia unatumia mara moja tu wala haitoshi.
Acheni hizo bana mbona mimi naona sawa.
#AnkoMaguEndelea Tu KutunyooshaNaBado#