Vodacom internet yenu mbona spidi mmepunguza sana?

Vodacom internet yenu mbona spidi mmepunguza sana?

Niliwagundua juzi jana nikachukua halotel sijajutia uamzi wangu najuta kwa nini sikugundua mapema suluhu ya hili tatizo
 
,simu ni ya line 1, line ina muda mrefu kuibadilisha nitapoteza vitu vingi sana na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wengine
ila ikiwa too much nanunua simu nyingine kwa ajili ya line ya internet nzuri
mkuu kuwa mvumilivu kidogo 4g ya voda inakuja soon.
 
54beff2e14c2527aaf7955c26d00c702.jpg
Tumia Halotel wewe check speed hiyo....
Internet ya halotel ipo vizuri sana sema ninakua na mashaka na jinsi mb zinavyoisha nahisi naibiwa, mb 500 zinaisha haraka sana hata kwa kuperuzi tu
 
Majibu yoooote ni sahihi ila hawa nao walikuwa hawalipi kodi so wanaongeza muda wa kudownload ili utumie pesa iiishe na waweze kwenda na kasi ya hapa kazi pamoja na kulipa kodi stahiki kwa serikali
 
kutumia Vodacom ni kujipa pressure, mtandao mbovu kuliko yote Tanzania. walisema kuna pre-paid roaming na majuzi kati nilisafiri kumbe hamna Cha roaming wala nini., wanadaiwa na roaming partners na partner yeyote anaeruhusu kuku roam na kiji simcard chako Cha voda.
Tigo na halotel wako vizuri
 
shukrani sana, ngoja tukae mkao wa kula
kama upo Dar,una simu yenye uwezo wa LTE fika samora vodashop/mlimani city au seacliff vodashop na kitambulisho chako ubadilishe laini yako sasa bei Tshs 500.ili ikianza uwe tayari na wewe umo.
 
kama upo Dar,una simu yenye uwezo wa LTE fika samora vodashop/mlimani city au seacliff vodashop na kitambulisho chako ubadilishe laini yako sasa bei Tshs 500.ili ikianza uwe tayari na wewe umo.
mi mi simu yangu ni Vodafone 695 hiiina uwezo wa LTE? na inatarajia kuanza lini?
 
mi mi simu yangu ni Vodafone 695 hiiina uwezo wa LTE? na inatarajia kuanza lini?
nenda kwenye setting>mobile network>hapo utaona features za uwezo wa simu yako.mf.GSM/2G/3G kama utaona ipo 4G au LTE ujue mambo poa hapo.
 
Back
Top Bottom