Recent content by joyla

  1. joyla

    Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

    Hao hawafugiki jamani cha msingi ni kupiga maombi tu tuache mungu ashughulike nao siye tuzidishe mapenzi na uaminifu tu
  2. joyla

    Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

    Ishu ya msingi ni kupiga maombi kwa mungu kila kitu kimawezekana kwa wale ambao hawajaolewa bado tujitahidi kuwaombea b4 hatujaingia huku tuweke agano na mungu na sisi pia tuwe waaminifu. Ni hayo tu
  3. joyla

    Ugumu wa Advanced Physics

    Mi sikuona ugumu wowote ila ni kwamba lina vitu vingi sana
  4. joyla

    Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

    Wakuoa wako wapi sasa
  5. joyla

    Dudu yangu jamani, Doctors, please, help me...

    Zingatia ushauri wa dr tumia dawa kwa usahihi utapona usiogope woga utafanya uendelee kuumwa poleee
  6. joyla

    Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    Mmh tunaomba na upande wa uje ili tujue tunasolve vip:confused:
  7. joyla

    Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    Rais gani mpayukaji
  8. joyla

    Mie mgeni humu

    Mi mgeni humu
  9. joyla

    Nakupenda a.k.a I love you!

    Mara moja natafuta wa kumwambia mara ya pili alafu basiiii
  10. joyla

    Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

    Asante kwa kuwakilisha hilo kipindi kizuri ila jamaa swagger zero
  11. joyla

    Lady Jaydee ampigia magoti Ruge

    Fanya yako jide wasikupotezee muda
Back
Top Bottom