Mimi sioni shida ya watu kuwa fake. Mbona hata wewe umeweka Id fake? Kama ungekua una hoja ungekuja na id ya jina lako. Kingine, unaugua nini wewe ukisikia mtu ana maisha mazuri hata kama sio kweli? Tafuta maisha yako wewe kuangalia watu wanafanya nini
Katika watu wajinga duniani na ulimwenguni Tanzania ipo top 10. Lowassa aliondoka ccm kwenda cdm baadae dr. Slaa akaondoka cdm kwenda ccm indirectly kwa kile alichokiita kutokubaliana na ujio wa lowassa ndani ya cdm na baadae akapewa ubalozi ila hatukuona mapokezi ya huyo dr slaa yalikuaje, leo...
Hii ni tungamo na uzito. Ndio vitu vijana wadogo mnavotaka siku hizi badala ya kuwaza kupata maisha nyie mnawaza kutembea na mashemeji zenu wengine mnawaza kupata mmama mwenye hela awe anakupa na gari ya kutembelea wengine mnawaza kupata zali la mentali ndio maana matokeo yake mnakua mashoga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.