Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,329
Kwani uyo jamaa ni mtoto sasa mbona njemba kubwa kabisa iyo si karibu 30 somethin??Afu nilikuwa nawaza ni mmbea gani atakaenipa taarifa za nandy?
Warumi, naskia huyo mtoto ndio sababu ya nandy. Kulia kwa uchungu kupitiliza kumkosa Ba mkwe
Je nandy ana umri gani asije mbemenda mtoto wa watu wakati wewe upo?![]()
