Recent content by Joweba

  1. Joweba

    JamiiForums Tanzania Nimeimba wimbo huu, najua kuimba au sijui, naomba ushauri

    Rekebisha haya maeneo, 1 jiachie sauti yako iwe free japo kuna ile kubana pua ila katika kubana pua ipe Uhuru sauti yako ifanye yake, yani usiwe unabana pua huku unaban na sauti. 2 usiogope jiamini jivishe ile hali ya kwamba nawew nimzoefu, maana sauti inaonyesha ulikuwa unaogopa san pia hukuwa...
  2. Joweba

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kugawanya majukumu serikalini

    Somehow good but mmmmmmhhhh. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Joweba

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ok guyz. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Joweba

    JamiiForums Tanzania Fundi wa hizi mambo yupo?

    habarini wandugu, nina tv yangu ya mchogo ilikuwa inaonesha rangi vizuri ila saivi inaonesha rangi ya blue iliyochanganyikana na nyeusi kiujumla inaboa kinoma noma, sasa juzi niliileta kwa fundi nkamwahidi ntaichukua baada ya siku mbili sasa leo nimefika hapa kwake naona bado anahangaika nayo...
  5. Joweba

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

    Hahaha daah nyie watu bhan.
  6. Joweba

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

  7. Joweba

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    habarini wakuu wa startimes, je kwenye decoder yangu ya startimes naweza rekodi kipindi? maana pale nyuma ya decoder nimeona sehemu ya kuchomeka flash sasa sjui niya flash kwel au? nsije nkaharibu mambo buree, msaada tafadhali.
  8. Joweba

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe nyimbo za bongo fleva zilizokuza baadhi ya maneno/misemo

    maana yake ni nini?
  9. Joweba

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya hizi?

    asante boss.
  10. Joweba

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya hizi?

    waku habari zenu, nataka kununua king'amuzi je kipi ni bora kati ya hizi? startimes au zuku? hapa sizungumzii bei ila muonekano and mengne.
  11. Joweba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shangazi yangu hajawahi hata kutongozwa

    awap.
  12. Joweba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shangazi yangu hajawahi hata kutongozwa

    mkuu Stephot sitanii ujue mie nataka niweke kambi kambi kabsa afu nahamishia makazi mazma, sio kuonja tu.
  13. Joweba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shangazi yangu hajawahi hata kutongozwa

    yan hii cjui ndo ile nlokuwa nkiisubiriaga!! make nna malengo ya kutafuta mwanamke wa almost 40s and 50s awe dem wangu bcoz vdada ckuiz siyo kabisa and am 24 right now, so mheshimiwa mleta mada naomb tufanye buznes juu ya hlo posa utakula wewe, so tukutane pm.
  14. Joweba

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

    asante kwa ushuhuda, je ushuhuda wako watufundisha nini?
  15. Joweba

    JamiiForums Tanzania Lengo la dini ni nini?

    daah ebana den umetisha, ila kwa kiasi kdogo npo upande wako, mie nimezaliwa katika familia ya kikristu na nikiwa na mwaka 1 nkabatizwa kama mkatoliki, ila kuanzia miaka 4 nyuma mpaka saiv huwa nasaligi nyumban make nmekuja kuona dini zishakuwa business.
Back
Top Bottom