Nimeimba wimbo huu, najua kuimba au sijui, naomba ushauri

Tafuta msaanii akucouch
Nenda kwa producer akunoe
Jua unataka kuwa kama au zaidi ya nani kisha tunga verse zako.

Omba kutumbuiza kwenye masherehe, unarikio, birthday party na kwingine.

Kuna kipindi ITV sijui TBC kinaitwa hawavumi ila wamo jiongeze kitafute.

Usijaribu we amua kufanya na Fanya kwa umakini sana Sio kazi rahisi ni kupambana mpaka ukaribie unakotaka
 
eyo kiraza what's the meaning of flaver!? if you misspell to write even your name then you better go help your PA in the village to graze his goats.
 
Wewe ni mwimbaji mkuu.unaweza ukafikiria kuanza kufanya uwekezaji serious kwenye eneo hilo la mambo ya muziki unaonekana utatoka kirahisi.kwa kuwa tayari sauti unayo
 
Unaweza ukaimba unahitaji mazoezi zaidi..na ujitahidi ujue kutunga nyimbo nzuri ili angalau km sauti yako haitakuwa nzuri sana kama ya nandy au ruby bas nyimbo ikubebe.....keep going
Asante kwa ushauri
 
Kiraza,
Mtafute Tony Joett wa Joettmusic hapo Dsm Tanzania au ktk anuani kadhaa za mtandao wake, maana umeonesha uwezo wa kuwa na uimbaji unaohitaji marekebisho ya ku-control pumzi-uimbaji: fuatilia video clip hii na zingine nyingi za mwalimu huyu

Source: joettmusic
 
Asante nashukuru nitamtafuta
 
Rekebisha haya maeneo,
1 jiachie sauti yako iwe free japo kuna ile kubana pua ila katika kubana pua ipe Uhuru sauti yako ifanye yake, yani usiwe unabana pua huku unaban na sauti.

2 usiogope jiamini jivishe ile hali ya kwamba nawew nimzoefu, maana sauti inaonyesha ulikuwa unaogopa san pia hukuwa unajiami wakati unatia voko.
All in all unajitahidi sana, hata Vannesa mdee na Lina walianzaga hivyo.
 
Kutoka home studio hiyo ni bonge ya kazi,with minor corrections to your voice (sijui ndo wanaita pitch) utakua fayaaa.u might need to put a lil work on your harmonies pia ..trust me ni uchawi mkubwa sana kwenye music.Goodluck!
 
Asante nashukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom